Yanga Kuwafuata Al Hilal Omdurman Kesho Alhamisi

Yanga Kuwafuata Al Hilal Omdurman Kesho Alhamisi 09 January 2025

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026

Revoo

Member

Reputation: 22%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
194
Klabu ya soka ya Yanga inatalajia kusafiri na kuelekea nchini Mauritania 🇲🇷 siku ya Alhamisi kwa ajili ya mchezo wa mzunguko wa tano dhidi ya Al Hilal.
FB_IMG_1736319029327.webp

Taarifa iliyotolewa na Afisa habari wa klabu hiyo leo mapema bwana Ali Kamwe alieleza kwamba bado Yanga inayo nafasi kubwa ya kusonga mbele licha ya kuanza vibaya mechi zao za awali.

"Tunaenda kumfunga pale pale kwao, kisha tunarudi kumalizana na Muarubu kwa Mkapa Yanga inafuzu hatua ya robo fainali".-Alisisitiza Ali Kamwe

●Mchezo wa Al Hilal na Yanga SC utapigwa majira ya saa nne usiku siku ya Jumapili.
 
Back
Top Bottom