- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 169
Uongozi soka ya Yanga imethibitisha kuwa klabu hiyo bado inaendelea kuwakosa nyota wao muhimu,Aziz Andambwile, Yao Kouassi Atouholla
na Max Mpia Nzingeli.
Repoti kutoka kwa daktari wa klabu hiyo Etutu Moses zinaeleza kuwa bado wanaendelea na matibabu kwa wiki chache zijazo.
Isipokuwa Clatous Chama amerejea kikosini kwa safari ya kuwafuata Al Hilal Omdurman.