Yasin Mustapha Ni Mali Ya Tabora United Fc

Yasin Mustapha Ni Mali Ya Tabora United Fc 09 January 2025

Revoo

Member

Reputation: 21%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
190
Klabu ya Tabora United FC imekamilisha usajili wa beki Yassin Mustapha akitokea Mtibwa Sugar FC
FB_IMG_1736369512471.webp

Mustapha amejiunga na klabu ya Tabora United FC akiwa Mchezaji huru baada ya kuachana na Mtibwa Sugar FC.

Ikumbukwe Mtibwa Sugar Fc ilishuka Daraja kutoka Ligi kuu Nbc PL na kushuka Ligi ya Championship msimu uliopita wa 2023/2024.
 
Back
Top Bottom