Robert Matano Mbioni Kutambulishwa Kocha Mkuu Fountain Gate Fc

Robert Matano Mbioni Kutambulishwa Kocha Mkuu Fountain Gate Fc 09 January 2025

Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano au Jinsi ya kuangalia selection za form six selection 2026 Tamisemi
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la Form Six Selection 2026 hapa

Revoo

Member

Reputation: 22%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
194
Raia wa Kenya Robert Matano (60) 🇰🇪 ndiye kocha Mkuu mpya wa klab ya Fountain Gate 🇹🇿 akirithi mikoba ya Mohamed Muya aliyefutwa kazi hivi karibuni.
FB_IMG_1736369810627.webp

Mazungumzo ya pande zote mbili yamekamilika na tayari amewasili Tanzania.

Kocha huyo wa zamani wa klab ya Tusker fc ya Kenya Muda wowote atatambulishwa klabuni hapo.
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom