- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 194
Raia wa Kenya Robert Matano (60)  ndiye kocha Mkuu mpya wa klab ya Fountain Gate
 ndiye kocha Mkuu mpya wa klab ya Fountain Gate  akirithi mikoba ya Mohamed Muya aliyefutwa kazi hivi karibuni.
 akirithi mikoba ya Mohamed Muya aliyefutwa kazi hivi karibuni.
 
Mazungumzo ya pande zote mbili yamekamilika na tayari amewasili Tanzania.
Kocha huyo wa zamani wa klab ya Tusker fc ya Kenya Muda wowote atatambulishwa klabuni hapo.
 ndiye kocha Mkuu mpya wa klab ya Fountain Gate
 ndiye kocha Mkuu mpya wa klab ya Fountain Gate  akirithi mikoba ya Mohamed Muya aliyefutwa kazi hivi karibuni.
 akirithi mikoba ya Mohamed Muya aliyefutwa kazi hivi karibuni.
Mazungumzo ya pande zote mbili yamekamilika na tayari amewasili Tanzania.
Kocha huyo wa zamani wa klab ya Tusker fc ya Kenya Muda wowote atatambulishwa klabuni hapo.
 
Yasin Mustapha Ni Mali Ya Tabora United Fc
 09 January 2025