- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 192
Azam FC wamekamilisha usajili wa mlinzi wa kimataifa wa Ivory Coast Zouzou Landry kutoka klabu ya Afad Djakanou ya Ivory Coast kwa mkataba wa miaka minne.
kimahesabu Zozuou anaenda kuziba nafasi ya Yannick Bangala ambaye ametimka kikosini hapo.
kimahesabu Zozuou anaenda kuziba nafasi ya Yannick Bangala ambaye ametimka kikosini hapo.