Latest activity
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
-
SSHEHOZA posted the thread Msaada naombeni mnijuze kidogo unapoambiwa utume cover letter kwenye email in Msaada.Msaada naombeni mnijuze kidogo unapoambiwa utume cover letter kwenye email na hawajakupa details za adress kwenye hilo tangazo huwa...
-
MNaomba kujua kama ofisi za zaman za sekretariet ya ajira zilizopo posta (dar) zinafanya kazi ukiwa unashida kwenye account Yako ya ajira...
-
FFaraji saidi replied to the thread Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Mikoa mbalimbali Kada za Ualimu 2025.Mimi sijapata ata notification kabisa Yani daaaah sijui shida nini. Sielewi kama nilichaguliwa au laa
-
FFaraji saidi replied to the thread Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Mikoa mbalimbali Kada za Ualimu 2025.Tumeni basi majina walochaguliwa uko
-
RHabari nilikuwa nauliza kama kuna mwenye idea interview izo za serikalin za online zinafananaje fananaje na pia kama kuna aliewah itwa...
-
DDotto Nestory posted the thread Kwenye tangazo la cocacola paid internship 2026 sijaona deadline na link ya kutuma maombi in Msaada.Kwenye tangazo la cocacola paid internship 2026 sijaona deadline n'a link ya kutula maombi
-
MMgendi Ibrahimu replied to the thread Aircraft Marshaller.Sawa mkuu nakutegemea
-
MMy savior replied to the thread Orodha ya magroup ya WhatsApp Tanzania.Group la record management daraja la pili,naomba mniunge
-
AKaka habari ya kazi samahani mimi nilikuwa nashida moja, nimeitwa kwenye interview ya warehouse director kampuni ya backbone nimejaribu...
-
aljazeer haji replied to the thread Aircraft Marshaller.Naomba kuuliza swali nina written interview 30/03/2026 lakini hadi sasahivi hawapanga venue au sehemu yakukutania hii imekaaje?? -
RProcurement and supply interview questions grade II
-
GHabari. Tafadhali, kama kuna yoyote anaefahamu au amesikia kuhusu nafasi za kazi ( za kawaida au skilled) Dodoma mjini anaweza ku share...
-
CCHRISANT WALINGUZO GABRIE replied to the thread Nafasi za kazi Barrick Tanzania.Jamani nauliza Grupu la WhatsApp Afisa mipango lipo??
-
Yyusravictor replied to the thread Aircraft Marshaller.naweza nikabadilisha sehemu ya kufanyia usahili kwenye account ya ajiraportal ?,maana nipo Zanzibar na wakati natuma maombi nilikuwa dar
-
HHarssen Saye replied to the thread Orodha ya magroup ya WhatsApp Tanzania.mbona group la Community Development nikitaka kujiunga linakataa