Ajira na Nafasi za kazi
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa na Makampuni Mbali mbali kutoka Tanzania, Sector Binafsi na Ajira za Serikalini.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Nafasi za Internship World Renew March 2025
World Renew Imetengaza nafasi za internship kwa watanzania wenye sifa yakujaza nafasi hizo zilizo wazi tuma maombi mapema kabla ya deadline, kusoma zaidi na jinsi yakutuma maombi PAKUA PDF HAPO CHINI
Nafasi Nyingi za kazi SUMAIT Ajira mpya 2025
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi kutoka Abdulrahman Al-Sumait University (Sumait), wametanga ajira kwa watanzania wenye sifa zakujaza nafasi hili zilizo wazi tuma maombi mapema kabla ya...
HILI HAPA TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 25-03-2025 UTUMISHI.
Hili hapa tangazo la kuitwa kazini ajira portal na utumishi siku ya leo 25-03-2025. Pakua PDF hapo chini.
Maswali ya Usaili Customs Officer II Interview
Haya hapa maswali Usaili Customs Officer II kujiandaa na interview TRA, Ajira portal Utumishi na Taasisi zingine.
Nafasi za Kazi UNESCO Utumishi
UNESCO kupitia Utumisi wametangaza nafasi za kazi kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi kujaza ajira mpya hizi zilizo tangazwa hapo chini.
Nafasi 57 za kazi Ajira Portal Utumishi
Hili hapa tangazo la Nafasi 57 za kazi Ajira Portal Kwa niaba ya Water Institute (WI), Tanzania Institute of Accountancy (TIA), Tanzania Library Services Board (TLSB), Baraza la Mitihani la...
Sell-Buy Masters Wametangaza nafasi za Paid Internship kwa watanzania hivyo kama unasifa usisite kutuma maombi, Kusoma zaidi na jinsi yakutuma maombi PAKUA PDF HAPO CHINI
Nafasi 5 za kazi TCJE Ajira Mpya 2025
Hili Hapa Tangazo la ajira Mpya Tobacco Cooperative Joint Enterprises Limited (TCJE), Wanahitajika watanzania wenye sifa na ari ili waweze kujaza nafasi zilizo achwa wazi Tuma maombi mapema kabla...
Nafasi za kazi TotalEnergies Ajira Mpya 2025
TotalEnergies Wametangaza nafasi za kazi kwa watanzania wenye sifa na ari yakuchapa kazi wanashauriwa waombe nafasi hizi mapema kabla ya Deadline BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI