Ajira na Nafasi za kazi
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa na Makampuni Mbali mbali kutoka Tanzania, Sector Binafsi na Ajira za Serikalini.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Haya hapa Maswali Ya Usaili TRA - TRA Interview Questions 2025 PDF (Written & Oral) kuandika na kuongea kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania jiandae vyema. Bonyeza hapa ku-download PDF zote za...
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi.
Nafasi 6 za Ajira Mpya Kyerwa 24-03-2025
Hili hapa tangazo Nafasi 6 za Ajira Mpya kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa.
Maswali na Majibu ya Usaili TRA Interview 2025
Haya hapa Maswali na Majibu ya Interview TRA, Maswali ya usaili TRA miaka iliyopita, Kama kuna kada bado hatuja pachika PDF yake usisite kutuambia PAKUA HAPO KWA CHINI PDF na uanze mazoezi mapema...
Haya hapa maswali mbalimbali ya interview kutoka TRA usaili kwa watu wa Tax Management Officer (TMO) na Tax Management Assistant (TMA) ukiyapitia kwa makini yatakusaidia siku moja na ukapiga hatua...
HAYA HAPA MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA AFISA UTUMISHI DARAJA LA II ((HUMAN RESOURCE OFFICER II) ULIOFANYIKA TAREHE 21/03/2025 AJIRA PORTAL.
Wasioitwa kwenye Usaili wa TRA 2025 Interview
Kufuatia tangazo la kuitwa kwenye usaili wa mchujo wa kuandika lililotolewa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) tarehe 22/03/2025.
Maswali ya Interview TRA Kujiandaa na Usaili 2025 Ajira za TRA
Haya hapa maswali mbalimbali na vitabu Interview TRA Kujiandaa na Usaili 2025 kama utabahatika kuitwa na ndio mara yako ya kwanza. Je, ni maswali gani wanayopendelea kuuliza kwenye usaili? katika...
Hongera kwa wale waliofanikiwa kwenye usaili nafasi mbalimbali za kazi. ila Kwa wale ambao hawajafanikiwa, usife moyo—hii haimaanishi kuwa wewe si bora, bali huenda hukutilia maanani mambo madogo...