Ajira na Nafasi za kazi

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa na Makampuni Mbali mbali kutoka Tanzania, Sector Binafsi na Ajira za Serikalini.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hili hapa tangazo Nafasi 6 za Ajira Mpya kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa.
Replies
0
Views
10K
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Miwa Sugar.
Replies
0
Views
2K
Haya hapa Maswali na Majibu ya Interview TRA, Maswali ya usaili TRA miaka iliyopita, Kama kuna kada bado hatuja pachika PDF yake usisite kutuambia PAKUA HAPO KWA CHINI PDF na uanze mazoezi mapema...
Replies
3
Views
35K
Haya hapa maswali mbalimbali ya interview kutoka TRA usaili kwa watu wa Tax Management Officer (TMO) na Tax Management Assistant (TMA) ukiyapitia kwa makini yatakusaidia siku moja na ukapiga hatua...
Replies
4
Views
62K
magai
HAYA HAPA MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA AFISA UTUMISHI DARAJA LA II ((HUMAN RESOURCE OFFICER II) ULIOFANYIKA TAREHE 21/03/2025 AJIRA PORTAL.
Replies
0
Views
7K
Kufuatia tangazo la kuitwa kwenye usaili wa mchujo wa kuandika lililotolewa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) tarehe 22/03/2025.
Replies
0
Views
16K
Haya hapa maswali mbalimbali na vitabu Interview TRA Kujiandaa na Usaili 2025 kama utabahatika kuitwa na ndio mara yako ya kwanza. Je, ni maswali gani wanayopendelea kuuliza kwenye usaili? katika...
Replies
12
Views
25K
BARAKA MAKINDA
Hongera kwa wale waliofanikiwa kwenye usaili nafasi mbalimbali za kazi. ila Kwa wale ambao hawajafanikiwa, usife moyo—hii haimaanishi kuwa wewe si bora, bali huenda hukutilia maanani mambo madogo...
Replies
0
Views
13K
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Taasisi ya Moyo ya JakayaKikwete (JKCI) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili...
Replies
0
Views
3K
HAYA HAPA MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA AFISA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS OFFICER II) ULIOFANYIKA TAREHE 20/03/2025 AJIRA PORTAL
Replies
0
Views
5K
Back
Top Bottom