Hilia hapa Tangazo la ajira mpya TAREA wakishirikiana na TAMFI watanzania wenye sifa na Ari wanahitajika kujaza nafasi hizi Tuma maombi Mapema Kabla ya Deadline
Jeshi la Polisi Tanzania linapokea maombi ya ajira kutoka kwa vijana wenye sifa zinazohitajika. Ajira hii inatoa fursa kwa Watanzania wenye nia ya kuhudumu katika kulinda usalama wa raia na mali...
Hapa Tumekuandalia mifano mitatu ya barua ya maombi ajira jeshi la polisi Tanzania iangalie vizuri kisha andika yako kwa mkono kwa maana wametaka barua iandikwe kwa mkono mifano ya barua hii hapa
Hatua kwa hatua Jinsi ya Kuingia katika Mfumo wa Ajira Polisi Tanzania 2025 kutuma maombi katika nafasi za kazi zilizo tangazwa siku ya leo. Bonyeza hapa kuingia
Jinsi ya Kufungua Akaunti / Account Ajira Polisi Tanzania 2025 kujisajili katika mfumo wa maombi, fata hatua hizi hapa chini. Bonyeza hapa kufungua sasa
Jeshi la Polisi Tanzania limetangaza nafasi za Ajira mpya leo Machi 21, 2025. Jisajili hapa katika mfumo wa maombi ya ajira polisi Ingia katika mfumo wa ajira jeshi la polisi hapa.
Hili hapa tangazo la Ajira Mpya Polisi Tanzania kada zote 21-03-2025 nafasi za kazi Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania anatangaza nafasi za ajira kwa vijana wa kitanzania wenye elimu ya shahada...
Hili hapa Tangazo la Ajira mpya Jeshi la polisi Tanzania, Zinatangaza nafasi za ajira kwa vijana wa kitanzania wenye elimu ya Shahada, Stashahada, Astashahada, Kidato cha sita na Kidato cha nne...