Ajira na Nafasi za kazi
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa na Makampuni Mbali mbali kutoka Tanzania, Sector Binafsi na Ajira za Serikalini.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hapa Tumekuandalia mifano mitatu ya barua ya maombi ajira jeshi la polisi Tanzania iangalie vizuri kisha andika yako kwa mkono kwa maana wametaka barua iandikwe kwa mkono mifano ya barua hii hapa
Hatua kwa hatua Jinsi ya Kuingia katika Mfumo wa Ajira Polisi Tanzania 2025 kutuma maombi katika nafasi za kazi zilizo tangazwa siku ya leo. Bonyeza hapa kuingia
Jinsi ya Kufungua Akaunti Ajira Polisi Tanzania 2025 Mfumo wa Maombi
Jinsi ya Kufungua Akaunti / Account Ajira Polisi Tanzania 2025 kujisajili katika mfumo wa maombi, fata hatua hizi hapa chini. Bonyeza hapa kufungua sasa
Jeshi la Polisi Tanzania limetangaza nafasi za Ajira mpya leo Machi 21, 2025. Jisajili hapa katika mfumo wa maombi ya ajira polisi Ingia katika mfumo wa ajira jeshi la polisi hapa.
Huu hapa mwongozo wa jinsi ya kutumia na kutuma maombi katika Mfumo wa Maombi ya Ajira jeshi la Polisi Tanzania kwa kada zote.
Hili hapa tangazo la Ajira Mpya Polisi Tanzania kada zote 21-03-2025 nafasi za kazi Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania anatangaza nafasi za ajira kwa vijana wa kitanzania wenye elimu ya shahada...
Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Ajira Mpya 2025
Hili hapa Tangazo la Ajira mpya Jeshi la polisi Tanzania, Zinatangaza nafasi za ajira kwa vijana wa kitanzania wenye elimu ya Shahada, Stashahada, Astashahada, Kidato cha sita na Kidato cha nne...
Nafasi Nyingi za kazi St John’s University of Tanzania (SJUT) Ajira Mpya 2025
Hili Hapa Tangazo la ajira mpya chuo kikuu cha SJUT watanzania wenye sifa kamili wanashuriwa kutuma maombi mapema ili kujaza nafasi hizi PAKUA PDF FILE HAPO CHINI KISHA TUMA MAOMBI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombajikazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 16-01-2025 na tarehe 24-02-2025kuwa matokeo ya...
Hili hapa tangazo la majina ya walioitwa kazini muda huu kutoka ajira portal au utumishi leo. Pakua PDF hapo chini.