Ajira na Nafasi za kazi
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa na Makampuni Mbali mbali kutoka Tanzania, Sector Binafsi na Ajira za Serikalini.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Nafasi za Internship IMED LIMITED Ajira Mpya 2025
Hili Hapa Tangazo la internship kutoka IMED Wanahitajika watanzania wenye sifa na ari kutuma maombi kabla ya Deadline:
Hili Hapa tangazo la nafasi mpya za kazi SBC Group Pepsi, wanahitajika watanzania wenye sifa akujitosheleza kujaza nafasi hii TUma maombi mapema
Ajira:: Nafasi za Kazi Polisi Tanzania Machi 2025 Ajira Mpya 2025
Muktasari: Nafasi hizo ni za ajira kada mbalimbali huku mwisho wa kuomba ukiwa ni Aprili 20, 2025 Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Tanzania (TPF) imetangaza nafasi za ajira katika kada mbalimbali...
Nafasi mpya za kazi Azam Pesa fursa 2025
Hili Hapa Tangazo la ajira mpya Azam Pesa pakuan PDF hapo chini kisha tuma maombi Mpema kabla ya deadline
Nafasi za Internship TAREA Ajira Mpya 2025
Hilia hapa Tangazo la ajira mpya TAREA wakishirikiana na TAMFI watanzania wenye sifa na Ari wanahitajika kujaza nafasi hizi Tuma maombi Mapema Kabla ya Deadline
Jeshi la Polisi Tanzania linapokea maombi ya ajira kutoka kwa vijana wenye sifa zinazohitajika. Ajira hii inatoa fursa kwa Watanzania wenye nia ya kuhudumu katika kulinda usalama wa raia na mali...
Hapa Tumekuandalia mifano mitatu ya barua ya maombi ajira jeshi la polisi Tanzania iangalie vizuri kisha andika yako kwa mkono kwa maana wametaka barua iandikwe kwa mkono mifano ya barua hii hapa
Hatua kwa hatua Jinsi ya Kuingia katika Mfumo wa Ajira Polisi Tanzania 2025 kutuma maombi katika nafasi za kazi zilizo tangazwa siku ya leo. Bonyeza hapa kuingia
Jinsi ya Kufungua Akaunti Ajira Polisi Tanzania 2025 Mfumo wa Maombi
Jinsi ya Kufungua Akaunti / Account Ajira Polisi Tanzania 2025 kujisajili katika mfumo wa maombi, fata hatua hizi hapa chini. Bonyeza hapa kufungua sasa
Jeshi la Polisi Tanzania limetangaza nafasi za Ajira mpya leo Machi 21, 2025. Jisajili hapa katika mfumo wa maombi ya ajira polisi Ingia katika mfumo wa ajira jeshi la polisi hapa.