Na WAF, Dodoma Kurejea kwa Toto Afya Kadi: Mwanga Mpya kwa Bima ya Afya ya Watoto Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama, ametangaza kwa furaha kurejeshwa kwa Toto Afya Kadi, mpango unaolenga kutoa...
Wananchi mnatadharishwa kuwepo kwa mtandao wa kitapeli unaopatikana katika kiunganishi cha "https://offersi-tes.github.io/grant-tanzania" ambao umeandikwa "RUZUKU YA URAIS Rais ameidhinisha kiasi...
Dkt. Isaka aweka wazi udanganyifu uliyochangia hasara ya bilioni 31.764. Sasa na hasara ya asilimia 313, sasa wameunda mfumo wa kubaini kile taarifa kutoka vitutoni. Kadi 12,68 5 zilizofutwa...
Yajivunia ulinzi kwa Taifa, ushiriki wa miradi mikubwa ya kimkakati nchini. Meja Jenerali Mabele aeleza namna walivyojenga Ikulu ya Chamwino, ukuta Mirerani usiku na mchana. Mashirika yake ya...
LEO: Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama (Mb) anatarajia kuzindua Mfumo wa uandikishaji Wanachama, Mfumo wa Uchakataji Madai na Kifurushi cha Toto Afya Kadi Desemba 17, 2024. Uzinduzi wa Mfumo...