Recent content by Gift
Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
-
MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA CHUO KIKUU CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI MUHIMBILI (MUHAS) AJIRA PORTAL
Haya hapa matokeo ya usaili wa kuandika chuo kikuu cha afya na sayansi shirikishi muhimbili (MUHAS) Angalia PDF hapa https://www.ajira.go.tz/newsdetails/MTFjMWNtRTRieFdqUVg3OWdDM0ZFZz09 -
TANGAZO LA NAFASI YA KAZI BARAZA LA TAIFA LA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI (NEEC) 19-09-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Baraza la Taifa la Uwezeshaji wananchi Kiuchumi (NEEC) 19-09-2026 kwa watanzania wenye sifa waweze kutuma maombi kuanzia. Pakua PDF hapa... -
MATOKEO YA USAILI WA VITENDO DEREVA DARAJA LA II WAKALA WA NDEGE ZA SERIKALI (TGFA) AJIRA PORTAL
Haya hapa matokeo ya usaili wa vitendo Dereva Daraja la II Wakala wa Ndege za Serikaili (TGFA) Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. Pakua PDF hapa... -
TANGAZO LA NAFASI YA KAZI TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa) 03-09-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) Pakua PDF hapa https://www.ajira.go.tz/baseattachments/advertisementattachments/260904125807TANGAZO%20LA%20NAFASI%20YA%20KAZI%20TASUBA%202026.pdf -
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MAMLAKA YA UDHIBITI WA UNUNUZI WA UMMA (PPRA) 01-09-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) 01-09-2026 kwa watanzania wote wenye sifa Pakua PDF hapa https://www.ajira.go.tz/baseattachments/advertisementattachments/20260109552325PPRA%20ADVERT.pdf -
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYA 01-09-2026 AJIRA PORTAL
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi sita (14) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:- Pakua PDF hapa... -
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGWE 31-08-2026 AJIRA PORTAL
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi tano (5) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao: - Pakua PDF hapa... -
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI SHIRIKA LA RELI TANZANIA (TRC) 31-08-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Shirika la Reli Tanzania (TRC) 31-08-2026 kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi sasa Pakua PDF hapa https://www.ajira.go.tz/baseattachments/advertisementattachments/20263108281425TANGAZO%20LA%20KAZI-%20TRC%20AGOSTI,%202026.pdf -
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA URAMBO 29-08-2026 AJIRA PORTAL
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Wilaya ya Urambo anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi nne (04) za kazi katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali Kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:- Pakua PDF hapa... -
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KITETO 29-08-2026 AJIRA PORTAL
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Wilaya ya Kiteto anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi mbili (02) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:- Pakua PDF hapa... -
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (UDSM) 07-08-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam (UDSM) 07-08-2026 Pakua PDF hapa https://www.ajira.go.tz/baseattachments/advertisementattachments/20260708101137TANGAZO%20LA%20KAZI%20UDSM%20AGOSTI%202026.pdf -
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 07-08-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa tangazo la kuitwa kwenye usaili Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Shirika la Reli Tanzania (TRC), Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI), Watumishi Housing Investments (WHI), Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC), Mamlaka ya Majisafi na Usafi... -
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MPANDA 05-08-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa tangazo la kuitwa kwenye usaili Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mpanda (MPAUWASA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 14/08/2026 hadi 24/08/2026... -
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 07-08-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa tangazo la kuitwa kazini Taasisi mbalimbali za Umma 07-08-2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 28-07-2025 na tarehe 17-07-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu... -
Nafasi za kukusanya Mapato Jiji la Arusha 23-07-2026
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi kukusanya Mapato Jiji la Arusha Kwa kuzingatia Mwongozo wa Kujitolea katika Utumishi wa Umma wa Mwaka 2025 ukisomwa Pamoja na Mwongozo wa Usimamizi wa Ukusanyaji Mapato katika Mamlaka za Serikali za Mitaa wa Julai, 2019. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la...