Nafasi za kukusanya Mapato Jiji la Arusha

Nafasi za kukusanya Mapato Jiji la Arusha 23-07-2026

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi kukusanya Mapato Jiji la Arusha Kwa kuzingatia Mwongozo wa Kujitolea katika Utumishi wa Umma wa Mwaka 2025 ukisomwa Pamoja na Mwongozo wa Usimamizi wa Ukusanyaji Mapato katika Mamlaka za Serikali za Mitaa wa Julai, 2019. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi ya kazi ya kijitolea.
Arusha.webp

Arusha Jiji.webp
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom