Recent content by ##kassim
Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
-
Jinsi kupata kazi kulingana na GPA yako.
Nimemaliza chuo nipo mtaani,nataka akutafuta kazi lakin Nina GPA ya 3.4 wameniandikia ni lower second class .je hapo Kuna uwezekano wa mm kuomba kazi na nikapata. -
Namna ya kupata kazi kulingana na GPA yako
Sorry nlikua sijamaliza kuandika lakin.naona sijui nimegusa waap ikajipost. Naomba kurudia maelekezoo -
Namna ya kupata kazi kulingana na GPA yako
Mimi nimemaliza chuo nipo mtaani lakini nataka akutafuta kazi ya kufanya. Nina GPA ya 3.4 lakin kwenyee cheti wamendikia low