Nahisi ni ujipange vizuri tu kisaikolojia, Siku hizi mambo ya GPA hayazingatiwi mkuu. Kama unaomba nafasi katika kampuni hakikisha tu CV yako iko vizuri kila kipengele kiwe professional, Kama unaomba ajira katika matangazo ya Serikali hakikisha tu unakila kitu kinacho hitajika kulingana na tangazo husika. Mara nyingi huwa ni cheti cha kuzaliwa, Transcipt, Vyeti vya Chuo, Cheti cha form four, vyeti vyote hivyo viwe vimehakikiwa yaani viwe vimepita kwa mwanasheria. @##kassim
Mambo ya kuangalia huyu kapata ngapi yashapitwa na wakati ingawa kuna matangazo yanakuwa yanataka angalau uwe na GPA nzuri wataitaja kama kigezo ila haizingatiwi sanaaa.
Wadau watakuongezea mengine hapa chini.