Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Ajira Portal na Utumishi 2024 | Mkoa wa Mtwara Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024.
Kuitwa kazini utumishi na ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 22 Januari 2024 na 13 Septemba 2024 kuwa matokeo ya usaili yamechapishwa rasmi. Matokeo haya yanajumuisha waombaji waliofaulu pamoja na wale waliokuwa kwenye kanzidata kwa kada mbalimbali na wamepangiwa vituo vya kazi kufuatia nafasi zilizopatikana.
Pitia: Nafasi za kazi Morogoro RRH
Soma zaidi: Jinsi ya Kujisajili Ajira Portal
Kuhusu Mtwara: Mkoa wa Mtwara ulianzishwa rasmi mwaka 1971 kutokana na Mpango wa Madaraka Mikoani ambao ulilenga kusogeza huduma karibu zaidi na wananchi. Kabla ya hapo mkoa ulikuwa ndani ya Jimbo la Kusini ambalo lilijumuisha Mikoa ya Ruvuma, Lindi na Mtwara ambapo Makao Makuu ya Jimbo yalikuwa Lindi.

Maagizo kwa Waombaji Waliofaulu
Waombaji wanaotakiwa kuripoti kwenye vituo vyao vya kazi wanapaswa kufika na vyeti halisi (Original Certificates) vya masomo yao kuanzia kidato cha nne hadi ngazi ya juu. Vyeti hivi vitahakikiwa na mwajiri kabla ya kupewa barua rasmi za ajira. Ni muhimu kwa waombaji kufuata muda uliowekwa kwenye barua hizo ili kuepuka kuchelewa.Taarifa Muhimu kwa Waombaji
Kwa waombaji ambao majina yao hayapo katika orodha hii, tafadhali tambua kuwa hawakufaulu usaili huu. Hata hivyo, mnaweza kujaribu tena nafasi nyingine zitakapotangazwa.Soma zaidi: Jinsi ya Kujisajili Ajira Portal