Majina ya Walioitwa Kazini Sekretarieti ya Ajira Utumishi | Taasisi Mbalimbali PDF

Ajira Majina ya Walioitwa Kazini Sekretarieti ya Ajira Utumishi | Taasisi Mbalimbali PDF 20241115

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 12-09-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Tangazo la kuitwa kazini​

Kuona orodha kamili ya majina walioitwa kazini Ajira Portal | Utumishi bonyeza hapo juu
TANGAZO LA KUITWA KAZINI HALMASHAURI MBALIMBALI 15-11-2024
  • Like
Reactions: JAQ
Back
Top Bottom