TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 10-02-2025 Ajira Portal

PDF TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 10-02-2025 Ajira Portal 2025-02-10

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi.
Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa kazini kutoka kada za walimu, Kada za Afya na Kada zingine mmbalimbali kwa kuitwa kazini waliopata ajira Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 27-04-2024 na tarehe 12-01-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 10-02-2025 Ajira Portal
Author
GiftVerified member
Downloads
2,167
Views
19,331
First release
Last update

Ratings

0.00 star(s) 0 ratings

More resources from Gift

Similar resources Most view View more
Back
Top Bottom