TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 11-02-2025 Utumishi

PDF TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 11-02-2025 Utumishi 2025-02-11

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi.
Orodha ya majina Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal Kada za walimu, Afya, Kada mbalimbali. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 21-04-2024 na tarehe 17-01-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 11-02-2025 Utumishi


Download PDF hapo Juu
Author
GiftVerified member
Downloads
2,866
Views
12,222
First release
Last update

Ratings

0.00 star(s) 0 ratings

More resources from Gift

Similar resources Most view View more
Back
Top Bottom