Search results
Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
-
Namna ya ku apload CV kwenye mfumo wa Takukuru kwangu inafeli na size aijafika MB 1
Ingia google kisha search pdf size reducer -
Swali kuhusu ajiraportal
Angalia hapa https://www.ajira.go.tz/baseattachments/newsattachments/20260804061917VITUO%20VYA%20USAILI%20WA%20MAHOJIANO%20APRIL%202026.pdf -
Jinsi ya kubadili tahasusi (combination) kidato cha tano 2026
Kuna mwongozo hapo juu hujauona mkuu? -
Naomba link ya Group la ICT
Hii hapa https://wananchiforum.com/threads/orodha-ya-magroup-ya-whatsapp-tanzania.3465/ -
Swali kuhusu ajiraportal
Hapo kujirudia hakuna shida. Wewe upload vyeti na transcript pote. Na hakikisha kila kitu kina mhuri wa mwanasheria -
Orodha ya Majina ya Walioitwa kazini Uhamiaji Aprili 13, 2026 e-Ajira Immigration
Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa kazini Uhamiaji Aprili 13, 2026 Kamishna Jenerali wa Uhamiaji anawatangazia vijana walioomba Ajira na kuitwa kwenye usaili kupitia Mfumo wa e-Ajira wa Uhamiaji kwamba wale waliochaguliwa wametumiwa ujumbe kupitia barua pepe na simu zao kuwa wanatakiwa...- Sia
- Thread
- Replies: 0
- Forum: Ajira na Nafasi za kazi
-
Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Mafunzo Uhamiaji Aprili 13, 2026 e-Ajira Immigration
Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Mafunzo Uhamiaji Aprili 13, 2026 Kamishna Jenerali wa Uhamiaji anawatangazia vijana walioomba Ajira na kuitwa kwenye usaili kupitia Mfumo wa e-Ajira wa Uhamiaji kwamba wale waliochaguliwa wametumiwa ujumbe kupitia barua pepe na simu zao kuwa...- Sia
- Thread
- Replies: 0
- Forum: Ajira na Nafasi za kazi
-
Waliochaguliwa kidato cha tano 2026-27 Selection za Vyuo Selform Tamisemi
Waliochaguliwa kidato cha tano 2026 TAMISEMI itatangaza rasmi orodha ya Waliochaguliwa kujiunga form five 2025-26 pamoja na Vyuo vya Kati kwa mwaka wa masomo 2026/2027 ifikapo tarehe 30 Mei,2026. Wanafunzi na wazazi sasa wanaweza kuangalia majina ya waliochaguliwa, maarufu kama "Waliochaguliwa... -
Jinsi ya kubadili tahasusi (combination) kidato cha tano 2026 Selform Tamisemi
Hii ni taarifa ya Wanafunzi wote wa kidato cha Tano 2025 sasa unaweza kubadili Tahasusi (Combination) uliyochaguliwa iwapo utakuwa unataka kusoma kitu kingine tofauti na chaguo la awali. Bofya kuingia katika eneo hilo ili kuendelea kubadilisha taarifa zako za machaguo ya shule za form V na... -
Kubadilisha tahasusi 2026 Kubadili Combination
Hatua kwa hatua jinsi ya Kubadilisha tahasusi 2026 kupitia mfumo wa selfom MIS selform.tamisemi.go.tz kubadili combination kunahitaji mipango makini ili kufanikisha mabadiliko ya kitaaluma. Kwanza, fanya tathmini ya maslahi yako, ujuzi, na malengo ya muda mrefu. Pili, chunguza fursa za soko la... -
Ajira:: Mfumo wa Kutuma maombi ya Ajira TAKUKURU PCCB Aprili 2026 Takukuru Ajira Porta
Huu hapa Mfumo wa Kutuma maombi ya Ajira PCCB Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba kuajiriwa nafasi za kazi katika ofisi za TAKUKURU Wilaya kama inavyoonekana hapo chini. Maombi yote yatumwe kupitia mfumo wa...- Sia
- Thread
- Replies: 0
- Forum: Ajira na Nafasi za kazi
-
Ajira:: Mfumo wa Maombi ya Ajira TAKUKURU PCCB Aprili 2026 Takukuru Portal 2026
Huu hapa Mfumo wa Maombi ya Ajira PCCB Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba kuajiriwa nafasi za kazi katika ofisi za TAKUKURU Wilaya kama inavyoonekana hapo chini. Maombi yote yatumwe kupitia mfumo wa kielekitroniki wa...- Sia
- Thread
- Replies: 0
- Forum: Ajira na Nafasi za kazi
-
Ajira:: Nafasi za Kazi TAKUKURU PCCB Aprili 2026 Ajira Mpya 2026
Muktasari: Nafasi hizo ni za ajira kada mbalimbali huku mwisho wa kuomba ukiwa ni Aprili 11, 2026 Dar es Salaam. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imetangaza nafasi 500 za ajira katika kada mbalimbali Tangazo la nafasi hizo limetolewa leo jumamosi Aprili 11, 2026 na...- Sia
- Thread
- Replies: 1
- Forum: Ajira na Nafasi za kazi
-
MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA ULIOFANYIKA TAREHE 10/04/2026 AJIRA PORTAL
Haya hapa matokeo ya usaili wa kuandika uliofanyika tarehe 10/04/2026 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. Pakua PDF hapaa. AFISA LISHE DARAJA LA II... -
MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI WA KUANDIKA (MCHUJO) KADA YA AFISA USHIRIKA DARAJA LA II (COOPERATIVE OFFICER GRADE II) AJIRA PORTAL
Haya hapa Katibu wa Ofisi ya Rais,Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, anawajulisha waombaji kazi wote wa kada ya Afisa Ushirika Daraja la II (Cooperative Officer Grade II) waliopangwa kufanya usaili wa kuandika (mchujo) tarehe 12 Aprili,2026 kuwa, kuna mabadiliko ya tarehe ya usaili... -
TANGAZO LA KUITWA KAZINI CHUO KIKUU CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI MUHIMBILI 06-04-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa tangazo la kuitwa kazini Makamu Mkuu wa Chuo, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 17-02-2026 na tarehe 18-02-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama...