A albertsisila96 New member Joined Dec 17, 2024 Messages 3 Apr 2, 2026 #1 Naomba kuliza nimeomba NAOT BADO HAWAJATOA MAJINA YA WRITTEN INTERVIEW Ofisi za zaman za sekretariet ya ajira zilizopo posta (dar) Habari, nimechaguliwa online interview community development officer grade ii lakini mpaka sasa sijapata location ya hiyo interview na tarehe ni 11
Naomba kuliza nimeomba NAOT BADO HAWAJATOA MAJINA YA WRITTEN INTERVIEW Ofisi za zaman za sekretariet ya ajira zilizopo posta (dar) Habari, nimechaguliwa online interview community development officer grade ii lakini mpaka sasa sijapata location ya hiyo interview na tarehe ni 11
S Sia Moderator Staff member Reputation: 100% Joined Oct 20, 2024 Messages 1,607 Apr 6, 2026 #2 Angalia kwenye account yako @albertsisila96 Upvote 0 Downvote