Search results
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
-
S
Maswali ya usaili Tutor II (Chemistry)
Ni kusoma tu pote Basic ICT, Entrepreneur, mambo ya mazingira etc -
S
Nafasi za kazi za EWURA CCC
Nahisi wakikuita utapata taarifa kupitia email yako mkuu -
Nafasi za Kujiunga na Jeshi la JWTZ 15-04-2026
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi JWTZ Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) linatangaza nafasi za kuandikishwa jeshini kwa vijana wa Kitanzania wenye elimu kuanzia elimu ya Sekondari hadi elimu ya Juu. Aidha, uandikishaji utahusisha vijana wa Kitanzania. -
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 14-04-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa tangazo la kuitwa kazini Taasisi mbalimbali za Umma ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 24-05-2025 na tarehe 14-02-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu... -
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI CHUO KIKUU ARDHI (ARU) 14-04-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa tangazp la kuitwa kwenye usaili chuo kikuu ardhi (ARU) 14-04-2026 Makamu Mkuu wa Chuo,Chuo Kikuu Ardhi (ARU) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 04/05/2026 hadi 06/05/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji... -
S
Namna ya ku apload CV kwenye mfumo wa Takukuru kwangu inafeli na size aijafika MB 1
Ingia google kisha search pdf size reducer -
S
Swali kuhusu ajiraportal
Angalia hapa https://www.ajira.go.tz/baseattachments/newsattachments/20260804061917VITUO%20VYA%20USAILI%20WA%20MAHOJIANO%20APRIL%202026.pdf -
Jinsi ya kubadili tahasusi (combination) kidato cha tano 2026
Kuna mwongozo hapo juu hujauona mkuu? -
S
Naomba link ya Group la ICT
Hii hapa https://wananchiforum.com/threads/orodha-ya-magroup-ya-whatsapp-tanzania.3465/ -
S
Swali kuhusu ajiraportal
Hapo kujirudia hakuna shida. Wewe upload vyeti na transcript pote. Na hakikisha kila kitu kina mhuri wa mwanasheria -
Orodha ya Majina ya Walioitwa kazini Uhamiaji Aprili 13, 2026 e-Ajira Immigration
Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa kazini Uhamiaji Aprili 13, 2026 Kamishna Jenerali wa Uhamiaji anawatangazia vijana walioomba Ajira na kuitwa kwenye usaili kupitia Mfumo wa e-Ajira wa Uhamiaji kwamba wale waliochaguliwa wametumiwa ujumbe kupitia barua pepe na simu zao kuwa wanatakiwa...- Sia
- Thread
- Replies: 0
- Forum: Ajira na Nafasi za kazi
-
Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Mafunzo Uhamiaji Aprili 13, 2026 e-Ajira Immigration
Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Mafunzo Uhamiaji Aprili 13, 2026 Kamishna Jenerali wa Uhamiaji anawatangazia vijana walioomba Ajira na kuitwa kwenye usaili kupitia Mfumo wa e-Ajira wa Uhamiaji kwamba wale waliochaguliwa wametumiwa ujumbe kupitia barua pepe na simu zao kuwa...- Sia
- Thread
- Replies: 0
- Forum: Ajira na Nafasi za kazi
-
Waliochaguliwa kidato cha tano 2026-27 Selection za Vyuo Selform Tamisemi
Waliochaguliwa kidato cha tano 2026 TAMISEMI itatangaza rasmi orodha ya Waliochaguliwa kujiunga form five 2025-26 pamoja na Vyuo vya Kati kwa mwaka wa masomo 2026/2027 ifikapo tarehe 30 Mei,2026. Wanafunzi na wazazi sasa wanaweza kuangalia majina ya waliochaguliwa, maarufu kama "Waliochaguliwa...