Search results

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
  1. Jonathan Ikangalombo Anukia Yanga SC.

    Jonathan Ikangalombo Anukia Yanga SC.

    Klabu ya Yanga SC imefikia makubaliano ya kumsajili winga Jonathan Ikangalombo kutoka As Vita Club ya DR Congo. Jonathan mwenye umri wa miaka 22 tayari yupo jijini Dar kukamilisha usajili huo.
  2. Ahmed Ally Wa Simba Leo Afikisha Miaka Mitatu Ndani Ya Simba Sports Club.

    Ahmed Ally Wa Simba Leo Afikisha Miaka Mitatu Ndani Ya Simba Sports Club.

    Januari 3 2025 CEO wa Simba SC wakati huo, Madam Babra Gonzalez alimuajiri Ahmed Ally kama Meneja wa habari na mawasiliano wa Klabu Leo ni miaka mitatu Ahmed Ally amekua kipenzi cha Wanachama na mashabiki wa Simba Sports Club Hongera Babra kwa zawadi hii Kwa wanalunyasi Simba sports club.
  3. Ligi Ya Mabingwa Africa CAFCL 2024/2025 Yaanza Kutimua Vumbi Leo

    Ligi Ya Mabingwa Africa CAFCL 2024/2025 Yaanza Kutimua Vumbi Leo

    Michuano ya Klabu Bingwa Africa CAFCL inaanza Leo katika Ungwe ya Nne. Cr Belouizdad vs Al Ahly Sc Leo (Ijumaa) 10:00 PM Yanga SC vs Tp Mazembe Kesho (Jumamosi) 04: 00 PM Orlando pirates vs Stade D'Abidjan Kesho (Jumamosi) 07:00 PM As Far Rabati vs As Maniema Kesho (Jumamosi) 10:00 PM Raja...
  4. Yanga Kufuatia Mchezo Wa Kesho January 04, 2025 Dhidi Ya Tp Mazembe Nyumbani (CAFCL)

    Yanga Kufuatia Mchezo Wa Kesho January 04, 2025 Dhidi Ya Tp Mazembe Nyumbani (CAFCL)

    Ni kweli Yanga ni miongoni mwa timu 6 ambazo hazijafanikiwa kupata ushindi wowote kwenye michuano ya CAF Interclub. Ni kweli Yanga wana alama moja mkiani. Lakini, Sidhani kama Yanga wakishindwa kufuzu hatua ya robo fainali ikuwa story kubwa sana...Na sioni kama kuna ulazima wa matokeo hayo...
  5. Simba Yaanza Mazoezi Nchini Tunisia Leo 02 January 2025.

    Simba Yaanza Mazoezi Nchini Tunisia Leo 02 January 2025.

    Kikosi cha Simba Sports Club kimefanya mazoezi ya kwanza nchini Tunisia tayari kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika 𝗧𝗼𝘁𝗮𝗹𝗘𝗻𝗲𝗿𝗴𝗶𝗲𝘀𝗖𝗔𝗙𝗖𝗖 dhidi ya CS Sfaxien🇹🇳 utakaopigwa Jumapili Januari 5. Mazoezi hayo yamefanyika katika Uwanja wa nje wa Olympique De R – Tunis ambao...
  6. Simba Wabadirishiwa Uwanja CAFCC

    Simba Wabadirishiwa Uwanja CAFCC

    Mchezo wa CAF Confederation Cup kati ya CS Sfaxien dhidi ya Simba SC utachezwa katika Uwanja wa Olympique Rades unaopatikana Jijini Tunis BADALA YA uwanja wa nyumbani wa CS Sfaxien unaoitwa Taeib Mehir uliopo katika mji wa Sfax kilomita 267 kuelekea Tunis Sfaxien wanaenda kutumia uwanja wa Rades...
  7. Mohammed Dewji Wa Simba Sports Club Anamtaka Fei Toto

    Mohammed Dewji Wa Simba Sports Club Anamtaka Fei Toto

    Rais wa heshima na Mwenyekiti wa bodi ya wakurungezi wa klabu ya Simba, Mohamed Dewji 'Mo' amewasilisha ofa ya dola 300,000 (Zaidi ya milioni 730 za Kitanzania) Pamoja na Aishi Manula kwa maboss wa klabu ya Azam kwa ajili ya kumhitaji kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo Feisal Salum 'Fei Toto'.
  8. TAKWIMU ZA MWAKA MZIMA WA 2024 KATIKA NBC PREMIER LEAGUE

    TAKWIMU ZA MWAKA MZIMA WA 2024 KATIKA NBC PREMIER LEAGUE

    𝙏𝘼𝙆𝙒𝙄𝙈𝙐 𝙕𝘼 𝙈𝙒𝘼𝙆𝘼 2024. Timu zilizoshinda alama (points) nyingi : ◉ 89 — Young Africans ◉ 86 — Simba Sports Club ◉ 74 — Azam FC ◉ 56 — Singida B.S Timu zilizoshinda michezo mingi : ◉ 29 — Young Africans ◉ 27 — Simba Sports Club ◉ 22 — Azam FC ◉ 16 — Singida B.S Timu zilizopoteza...
  9. Msimamo Wa Yanga Kwenye Makundi Ya CAFCL Na Nafasi Ya Kufuzu Hatua Ya Robo Fainali

    Msimamo Wa Yanga Kwenye Makundi Ya CAFCL Na Nafasi Ya Kufuzu Hatua Ya Robo Fainali

    Kwenye michuano ya CAF Interclub hatua ya makundi Yanga wanaburuza mkia wakiwa na alama moja tu kwenye msimamo wa kundi A huku kinara Al Hilal akiwa na alama zake 9. Wana nafasi ya kuongoza kundi...? Hapa kimahesabu uwezo wa kuongoza Kundi kwa Yanga haupo tena Kivipi...? Yanga wamebaki na...
  10. Mpanzu Sasa Kuitumikia Simba sports club Katika Michuano Ya Shirikisho Africa CAFCC

    Mpanzu Sasa Kuitumikia Simba sports club Katika Michuano Ya Shirikisho Africa CAFCC

    Klabu ya Simba SC imefanikiwa kumsajili kwenye mfumo wa CAF winga wao mpya Ellie Mpanzu na sasa nyota huyo anaruhusiwa kuichezea Simba kwenye mechi za kombe la shirikisho (CAF Confederation Cup) na ataanza jumapili January 05, dhidi ya CS Sfaxien ya Tunisia mchezo utaochezwa majira ya saa 1:00...
  11. Ratiba Ya Michezo Mitatu "3" Ijayo Yanga Kimataifa

    Ratiba Ya Michezo Mitatu "3" Ijayo Yanga Kimataifa

    1.YANGA vs TP MAZEMBE 🇨🇩 -JANUARY 4 KWA MKAPA Saa kumi Jioni 2.AL HILAL 🇸🇩 Vs YANGA - JANUARY 12 MAURITANIA 🇲🇷 Saa nne usiku 3.YANGA Vs MC ALGER 🇩🇿 - JANUARY 18 KWA MKAPA saa kumi Jioni Wananchi taarifa iwafikie kuwa hakuna mchezo wowote wa ligi mpaka michezo yenu yote ya kimataifa...
  12. Simba Safarini Kuwafuata Cs Sfaxien Tunisia

    Simba Safarini Kuwafuata Cs Sfaxien Tunisia

    Kikosi Cha Simba sports club kimesafiri Alfajiri ya leo Januari 1 2025 kuelekea Nchini Tunisia kwaajili ya mchezo wa CAFCC dhidi ya CS Sfaxien Mchezo ambao utachezwa tarehe 5 Mwezi wa kwanza Mwaka huu 2025. 𝐖𝐀𝐂𝐇𝐄𝐙𝐀𝐉𝐈 22 𝐖𝐀𝐋𝐈𝐎𝐒𝐀𝐅𝐈𝐑𝐈 𝐊𝐖𝐄𝐍𝐃𝐀 𝐓𝐔𝐍𝐈𝐒𝐈𝐀 𝐆𝐎𝐀𝐋𝐊𝐄𝐄𝐏𝐄𝐑𝐒 🇬🇳Moussa CAMARA 🇹🇿Ally SALIM...
  13. Bernard Morrison Mchezaji Mpya Ken Gold

    Bernard Morrison Mchezaji Mpya Ken Gold

    Klabu ya soka ya Kengold imemsajili mchezaji wa kimataifa kutoka Ghana Bernard Morrison kama mchezaji huru kwa mkataba wa miezi sita. Morrison ambaye alikuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu akiuguza majeraha wakati akiitumikia FAR Rabart ya Nchini Morocco, sasa yuko fiti kuwatumikia wachimba...
  14. Karabaka Msimbazi Atolewa Kwa Mkopo

    Karabaka Msimbazi Atolewa Kwa Mkopo

    Winga Saleh Karabaka ametolewa kwa mkopo wa miezi 6 kwenda Namungo FC Karabaka atarejea Simba SC mwisho wa msimu Kila la heri Saleh Karabaka🇹🇿🔴⚪
  15. Ligi Ya Nbc Tanzania Kusimama Mpaka March.

    Ligi Ya Nbc Tanzania Kusimama Mpaka March.

    Shirikisho la Mpira wa miguu nchini (TFF) imesimamisha ligi kuu Tanzania Bara kuanzia Disemba 29,2024 mpaka Machi 1,2025 kupisha michuano ya Mapinduzi Cup pamoja na Michuano ya CHAN itayoanza Mwezi january Mwaka Ujao. Baada ya Shirikisho la kandanda Nchini Tanzania (TFF) kutangaza kuanzia...
  16. Ratiba Ya Mapinduzi Cup 2025 Kuanza Januari 3

    Ratiba Ya Mapinduzi Cup 2025 Kuanza Januari 3

    Ratiba Ya Mapinduzi Cup 2025 Kuanza Januari 3. Michuano ya Mapinduzi 2025 kuanza kuchezwa Ijumaa hii katika dimba la Gombani Kisiwani Pemba. Hii hapa ratiba ya Mapinduzi cup Zanzibar 2025.
  17. Takwimu Za Pacome Mpaka Sasa Yanga

    Takwimu Za Pacome Mpaka Sasa Yanga

    Pacôme Zouzoua amehusika moja kwa moja katika mabao sita kwenye mechi zake tano za mwisho katika NBC Premier League. Vs. Namungo - ⚽ Vs. Mashujaa - 🅰️ Vs. Tanzania Prisons - 🅰️ Vs. Dodoma Jiji - 🅰️ Vs. Fountain Gate - ⚽⚽ Ndiye mchezaji wa tatu wa Young Africans kufunga mabao 5+ katika NBC...
  18. Coach Fadlu Devi's Azungumza Kuhusu Usajiri Dirisha Dogo Msimbazi

    Coach Fadlu Devi's Azungumza Kuhusu Usajiri Dirisha Dogo Msimbazi

    Dirisha dogo la usajili litafungwa Januari 15 mwakani Mpaka sasa Fadlu Davids ameuliza kama kuna uwezekano wa kupatikana Kiungo mkabaji asilia mmoja mwenye ubora sawa au zaidi ya Yusuf Kagoma Simba wanafikiria kufungua mazungunzo na Kiungo mkabaji wa Timu ya Taifa Benin, (26) Kocha Fadlu...
  19. Kituo Kinachofuata Kwa Yanga SC ni CAFCL Dhidi Ya Tp Mazembe

    Kituo Kinachofuata Kwa Yanga SC ni CAFCL Dhidi Ya Tp Mazembe

    Wananchi baada ya kushinda michezo minne mfululizo ya ligi kuu sasa wanarejea kwenye michuano ya kimataifa. Ambapo ratiba inaonyesha kuwa Yanga Jumamosi hii January 4,2025 watawakaribisha TP Mazembe katika Uwanja wa Mkapa,Dar. Wanachi wenye pointi 1 tu wanasaka ushindi wao wa kwanza kwenye...
  20. Kikosi Cha Kilimanjaro Stars Kitakachoingia Kambini Kujiandaa Na Mapinduzi cup 2025

    Kikosi Cha Kilimanjaro Stars Kitakachoingia Kambini Kujiandaa Na Mapinduzi cup 2025

    Kikosi cha Kilimanjaro Stars kitakachoingia kambini kujiandaa na michezo ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar 2025.
Back
Top Bottom