ajira portal

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
  1. TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 08-05-2025

    TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 08-05-2025 AJIRA PORTAL

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 03-11-2024 na tarehe 14-04-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina...
  2. MATOKEO YA USAILI WA VITENDO ULIOFANYIKA TAREHE 06/05/2025 AJIRA PORTAL

    MATOKEO YA USAILI WA VITENDO ULIOFANYIKA TAREHE 06/05/2025 AJIRA PORTAL Utumishi

    Haya hapa matokeo ya usaili wa vitendo uliofanyika tarehe 06/05/2025 Ajira portal Wasailiwa wote waliochaguliwa kuendelea na hatua zinazofuata wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na...
  3. TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 06-05-2025 AJIRA PORTAL

    TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 06-05-2025 AJIRA PORTAL UTUMISHI

    Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa kazini Afya, walimu na taasisi mbalimbali kutoka utumishi/ajira portal. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 16-06-2024 na tarehe 05-04-2025 kuwa...
  4. Ajira Portal, Matokeo ya Usaili wa kuandika Uliofanyika Tarehe 05 Januari 2025

    Ajira Portal, Matokeo ya Usaili wa kuandika Uliofanyika Tarehe 05 Januari 2025

    Ajira Portal, Haya hapa Matokeo ya Usaili wa kuandika Uliofanyika Tarehe 05 Januari 2025. AFISA MAENDELEO YA JAMII MSAIDIZI DARAJA LA II AFISA USAFIRISHAJI DARAJA LA II (TRANSPORT OFFICER II)
  5. MATOKEO YA USAILI AJIRA PORTAL WA KUANDIKA ULIOFANYIKA TAREHE 04/01/2025

    MATOKEO YA USAILI AJIRA PORTAL WA KUANDIKA ULIOFANYIKA TAREHE 04/01/2025

    Haya hapa matokeo ya usaili Ajira Portal wa kuandika ulifanyika tarehe jana tarehe 04/01/2025 Sekretarieti ya Ajira Utumishi Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)...
  6. Vitu vya kuzingaia unapokwenda kwenye Usaili Ajira Portal

    Vitu vya kuzingaia unapokwenda kwenye Usaili Ajira Portal

    Hivi hapa Vitu vya kuzingaia unapokwenda kwenye Usaili Ajira Portal katika saili mbalimbali zinazofanyishwa na Sekreatrieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa kada zote.
  7. JINSI YA KUBADILI KUHUISHA KUHUISHA ANUANI YA MAKAZI AJIRA PORTAL

    JINSI YA KUBADILI KUHUISHA KUHUISHA ANUANI YA MAKAZI AJIRA PORTAL

    FATA NAKALA HAYA JINSI YA KUHUISHA KUHUISHA ANUANI YA MAKAZI AJIRA PORTAL KATIKA KADA ZOTE KWA WALIOITWA KWENYE USAILI.
  8. G

    Ajira Majina ya Walioitwa Kazini Ajira Portal - Taasisi Mbalimbali Serikalini 27-12

    Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Ajira Portal - Taasisi Mbalimbali Serikalini. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 21 Aprili 2024 na tarehe 18 Novemba 2024 kuwa matokeo ya...
  9. Ajira Portal | Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili MDAs & LGAs, Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP)

    Ajira Portal | Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili MDAs & LGAs, Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP)

    Ajira Portal | Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs, Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 02...
  10. Nafasi za kazi 73 Wizara ya Ardhi December 2024

    Nafasi za kazi 73 Wizara ya Ardhi December 2024

    Wananchi, Hizi hapa Nafasi za kazi 73 Wizara ya Ardhi December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye siffa, nia, ari na vigezo vyote waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo zilizo tangazwa na Sekretarieti ya Ajira kupitia Utumishi wa Umma Ajira portal. Wizara ya Ardhi ilianzishwa kama...
  11. Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Wilaya ya Sengerema December 2024

    Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Wilaya ya Sengerema December 2024

    Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Wilaya ya Sengerema December 2024. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawafahamisha waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 09-09-2024 kuwa matokeo ya waliofaulu sasa yanapatikana. Hii ni hatua muhimu katika...
  12. Matokeo ya Usaili wa Vitendo TATC, TIE, NIT December 2024

    Matokeo ya Usaili wa Vitendo TATC, TIE, NIT December 2024

    Haya hapa Matokeo ya Usaili wa Vitendo TATC, TIE, NIT December 2024, yaliyo tangazwa na Sekretarieti ya Ajira Tanzania uliofanyika tarehe 9 Desemba 2024, orodha kamili ya majina yapo chini hapa. Pia unaweza kuona katika akaunti yako ya Ajira portal. Usaili wa Vitendo TATC, TIE, NIT ARTISAN...
  13. Matokeo ya Usaili wa Kuandika UDSM, NIT, TMA 07-12-2024

    Matokeo ya Usaili wa Kuandika UDSM, NIT, TMA 07-12-2024

    Haya hapa Matokeo ya Usaili Ajira Portal na Utumishi wa Kuandika UDSM, NIT, TMA, yaliyo tangazwa na Sekretarieti ya Ajira Tanzania uliofanyika tarehe 7 Desemba 2024, orodha kamili ya majina ya waliotwa kuendelea na usaili na waliofaulu yapo chini hapa. Angalizo: Wasailiwa wote waliochaguliwa...
  14. Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili MJNUAT December 2024

    Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili MJNUAT December 2024

    Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili MJNUAT. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius K. Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT), anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili utafanyika kuanzia...
  15. Matokeo ya Usaili wa kuandika Shirika la Nyumbu (TATC) December 2024

    Matokeo ya Usaili wa kuandika Shirika la Nyumbu (TATC) December 2024

    HAYA HAPA MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA SHIRIKA LA NYUMBU (TATC) ULIOFANYIKA TAREHE 06/12/2024 Mwongozo: Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili., Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates), Wasailiwa wote...
  16. Y

    Muongozo juu ya baadhi ya Kozi kutokuwa na chances za kuomba baadhi ya nafasi zinazotangazwa kupitia ajira portal

    Pole na majukumu. Changamoto yangu kuu ni hii bachelor degree of science in agricultural natural resources economics and business inayotolewa chuo kikuu cha Dar es salaam kutokupewa nafasi sawa katika nafasi kadha wa kadha, mfano mchumi zinazokuwa zinatangazwa kupitia ajira portal. Mfano mzuri...
  17. KUITWA KAZINI KADA ZA AFYA NA TAASISI MBALIMBALI 5 DESEMBA 2024

    KUITWA KAZINI KADA ZA AFYA NA TAASISI MBALIMBALI 5 DESEMBA 2024

    TANGAZO LA KUITWA KAZINI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 03-09-2024 na tarehe 11-09-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili yatatolewa hivi karibuni. Orodha ya wagombea...
  18. Ajira Mpya 13 Benki Kuu ya Tanzania (BOT) December 2024 | Nafasi za kazi za Kuhamia

    Ajira Mpya 13 Benki Kuu ya Tanzania (BOT) December 2024 | Nafasi za kazi za Kuhamia

    Wanannchi, Hizi hapa Ajira Mpya 13 Benki Kuu ya Tanzania (BOT) December 2024. Benki Kuu ya Tanzania, ambayo ni Benki Kuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ilianzishwa kupitia Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 1965 na kuanza rasmi kazi tarehe 14 Juni 1966. Katika miaka iliyopita, sheria...
  19. Matokeo ya Usaili wa kuandika Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) December 2024

    Matokeo ya Usaili wa kuandika Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) December 2024

    HAYA HAPA MATOKEO YA USAILI WA VITENDO CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI NA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI ULIOFANYIKA TAREHE 04/12/2024 KUTOKA SEKRETARIETI YA AJIRA KUPITIA UTUMISHI WA UMMA. Mwongozo: Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili, Wasailiwa...
  20. Matokeo ya Usaili wa kuandika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) December 2024

    Matokeo ya Usaili wa kuandika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) December 2024

    HAYA HAPA MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT) ULIOFANYIKA TAREHE 04/12/2024 Mwongozo: Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili., Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)...
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom