ajira portal

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
  1. Utumishi wametangaza mabadiliko ya usaili NIT l Chuo cha Taifa cha Usafirishaji

    Utumishi wametangaza mabadiliko ya usaili NIT l Chuo cha Taifa cha Usafirishaji

    Wasailiwa wa kada zote zilizopangiwa kufanya usaili wa mahojiano tarehe 7 Disemba 2024 katika chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) mnajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya tarehe ya kufanya usaili huo. Usaili wa mahojiano utafanyika tarehe 6 Disemba 2024 badala ya tarehe iliyotangazwa awali. Aidha...
  2. Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili IAE, MNMA December 2024

    Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili IAE, MNMA December 2024

    Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili IAE, MNMA December 2024 PDF. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE), Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa...
  3. Nafasi za kazi DUCE Desemba 2024 | Ajira mpya Chuo Shirikishi cha Elimu Dar es Salaam

    Nafasi za kazi DUCE Desemba 2024 | Ajira mpya Chuo Shirikishi cha Elimu Dar es Salaam

    Hizi hapa Nafasi za kazi 11 kutoka DUCE Desemba 2024 | Ajira mpya Chuo Shirikishi cha Elimu Dar es Salaam, zilizo tangazwa kupitia Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma leo kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi. Pakua PDF hapa chini, kama una swali unauliza uliza hapo...
  4. Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Utumishi Nyongeza December 2024

    Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Utumishi Nyongeza December 2024

    Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Utumishi Nyongeza December 2024. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI),, Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE) anapenda kuwataarifu...
  5. Orodha ya Majina ya Walioitwa kazini Utumishi Nyongeza December 2024

    Orodha ya Majina ya Walioitwa kazini Utumishi Nyongeza December 2024

    Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa kazini Utumishi Nyongeza December 2024. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI),, Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE) anapenda kuwataarifu Waombaji...
  6. S

    Jinsi ya Kujisajili kwenye Ajira Portal: Mwongozo Rahisi

    Umewahi kujiuliza jinsi ya kuongeza nafasi zako za kupata kazi? Ajira Portal ni jukwaa la mtandao linalounganisha waajiri na waombaji kazi. Kwa kujisajili kwenye Ajira Portal, unaweza kuongeza ufikiaji wako kwa fursa nyingi za kazi. Hapa kuna mwongozo rahisi wa kujisajili: Hatua ya 1: Fungua...
  7. S

    Kuitwa Kazini Ajira Portal, Utumishi | Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE)

    Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa | Kuitwa Kazini Ajira Portal, Utumishi | Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) leo tarehe 12 Novemba 2024. Naibu Rasi - Mipango, Fedha na Utawala wa Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) anapenda kuwataarifu waombaji kazi mbalimbali waliofanya usaili...
  8. G

    Ajira Nafasi 105 za Kazi Kutoka Ajira Portal na Utumishi Novemba 2024 | NBS, DIT, IAA 08 Novemba 2024

    Kwa niaba ya Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS), Taasisi ya Uhasibu Arusha, Wizara ya Maji, na Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inawaalika Watanzania wenye sifa zinazofaa, walio na uzoefu, ari na mwamko kujaza nafasi za kazi mia moja na tano...
  9. G

    Ajira Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Manispaa ya Sumbawanga | Mji Newala 08 Novemba 2024

    Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Manispaa ya Sumbawanga | Mji Newala Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024.
  10. G

    PDF Matokeo ya Usaili Ajira Portal na Utumishi | TBC, Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) 20241108

    Haya hapa Matokeo ya Usaili Ajira Portal na Utumishi | TBC, Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) yaliyo tangazwa na Sekretarieti ya Ajira Tanzania uliofanyika tarehe 5 mpaka tarehe 6 Novemba 2024, orodha kamili ya majina ya waliotwa kufanya usaili wa kuandika yapo chini. Matokeo ya usaili yaliyo...
  11. G

    PDF Orodha ya Majina Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal (PSRS) | Taasisi Mbalimbali | Kada 08 Novemba 2024

    Hii hapa Orodha ya Majina Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal (PSRS) | Taasisi Mbalimbali | Kada Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024. Kuitwa kazini utumishi na ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi...
  12. G

    Ajira Majina ya Walioitwa Kazini Ajira Portal na Utumishi 2024 | Mkoa wa Mtwara 08 Novemba 2024

    Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Ajira Portal na Utumishi 2024 | Mkoa wa Mtwara Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024. Kuitwa kazini utumishi na ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali...
  13. Majina ya Walioitwa Kazini Ajira Portal - Utumishi | Mkoa wa Katavi

    Majina ya Walioitwa Kazini Ajira Portal - Utumishi | Mkoa wa Katavi

    Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Ajira Portal - Utumishi - Halmashauri za Mkoa wa Katavi Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024/2025 yaliyo tangazwa leo tarehe 7 Novemba 2024. Kuitwa kazini utumishi na ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi...
  14. Majina ya Walioitwa Kazini Ajira Portal - Utumishi | Mkoa wa Singida

    Majina ya Walioitwa Kazini Ajira Portal - Utumishi | Mkoa wa Singida

    Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Ajira Portal - Utumishi - Halmashauri za Mkoa wa Singida Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024. Kuitwa kazini utumishi na ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi...
  15. Majina ya Walioitwa Kazini Ajira Portal na Utumishi 2024 | Mkoa wa Rukwa

    Majina ya Walioitwa Kazini Ajira Portal na Utumishi 2024 | Mkoa wa Rukwa

    Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Ajira Portal na Utumishi 2024 - Halmashauri za Mkoa wa Rukwa Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024. Kuitwa kazini utumishi na ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi...
  16. Kuwepo kwa Usaili Kada za Ualimu 2024 Utumishi kutasaidia kupata walimu bora?

    Kuwepo kwa Usaili Kada za Ualimu 2024 Utumishi kutasaidia kupata walimu bora?

    Naomba tujadili hili swala jamani, je Kuwepo kwa Usaili Kada za Ualimu 2024 Utumishi kutasaidia kupata walimu bora?
  17. G

    Ajira Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Tabora 07 Novemba 2024

    Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Tabora Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024. Kuitwa kazini utumishi na ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali waliofanya...
  18. G

    Ajira Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Shinyanga 06 Novemba 2024

    Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Shinyanga Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024. Kuitwa kazini utumishi na ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali waliofanya...
  19. G

    Ajira Kuitwa kazini Sekreatarieti ya Ajira na Ajiraportal | Mkoa wa Mara 06 Novemba 2024

    Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Kuitwa kazini Sekreatarieti ya Ajira Portal | Mkoa wa Mara Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024. Kuitwa kazini utumishi na ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa...
  20. G

    Ajira Matokeo ya Usaili Ajira Portal na Utumishi | TCB, Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa 04 Novemba 2024

    Haya hapa Matokeo ya Usaili Ajira Portal na Utumishi | TCB, Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, TRC yaliyo tangazwa na Sekretarieti ya Ajira Tanzania, orodha kamili ya majina ya waliotwa kufanya usaili yapo chini yaliyo tolewa leo tarehe 4 Novemba 2024. Matokeo ya usaili yaliyo tangazwa...
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom