TAARIFA KUHUSU USAILI WA KADA ZA UALIMU 2024/2025 AJIRA PORTAL - UTUMISHI AJIRA ZA WALIMU 2025
Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ilitoa taarifa ya kusitishwa usaili wa Walimu tarehe 17 Oktoba, 2024 ambapo taarifa hiyo ilitokana na tangazo la kuitwa kwenye usaili la...
Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ilitoa taarifa ya kusitishwa usaili wa Walimu tarehe 17 Oktoba, 2024 ambapo taarifa hiyo ilitokana na tangazo la kuitwa kwenye usaili la terehe 15 Oktoba, 2024.
Hivyo, kupitia tangazo hili, Katibu wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya...
hizi hapa Ajira za Walimu Al Muntazir Islamic International Schools December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye nia, ari, na sifa waweze kutuma maombi yao kuanzia siku ya leo.