inec

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
  1. Manispaa ya Iringa imetangaza orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili INEC December 2024

    Manispaa ya Iringa imetangaza orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili INEC December 2024

    Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili INEC Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Iringa Mjini anapenda kuwataarifu waombaji wa kazi ya muda ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kuwa usaili utafanyika kama ifuatavyo: Tarehe: Kuanzia Jumanne, 10/12/2024 hadi Jumatano...
  2. Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili INEC Jimbo la Mufindi December 2024

    Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili INEC Jimbo la Mufindi December 2024

    Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili INEC Ofisi ya Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Mufindi Kaskazini katika Jimbo la Mufindi Kusini inapenda kuwataarifu waombaji wote waliopendekezwa kwa nafasi za kazi za Waandishi Wasadizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki. Usaili wa...
  3. Kuitwa kwenye Mafunzo Hai Ajira za INEC December 2024

    Kuitwa kwenye Mafunzo Hai Ajira za INEC December 2024

    Afisa Mwandidikishaji wa Jimbo la Hai anapenda kuwapongeza na kuwajulisha rasmi kwamba mmepata uteuzi kushiriki katika zoezi muhimu la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Uteuzi huu unahusisha nafasi zifuatazo: Waendeshaji wa Mashine za Bayometriki (BVR Kit Operators) Waandishi...
  4. Majina wa Walioitwa kwenye Mafunzo SIHA Ajira za INEC 2024

    Majina wa Walioitwa kwenye Mafunzo SIHA Ajira za INEC 2024

    Hii hapa orodha ya Majina wa Walioitwa kwenye Mafunzo SIHA Ajira za INEC 2024. Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Siha anawatangazia wale waliofaulu kwenye usaili wa nafasi za Uandikishaji Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Biometriki (BVR) uliofanyika tarehe 05/11/2024 na 06/11/2024, kuhudhuria...
  5. NEC RATIBA YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA MWAKA 2024/2025 INEC

    NEC RATIBA YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA MWAKA 2024/2025 INEC

    HII HAPA RATIBA YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA MWAKA 2024/2025 Pakua PDF hapa chini, kama una swali uliza.
  6. G

    PDF Majina ya Walioitwa kwenye Usaili INEC | Wilaya ya Hai NEC | Tume ya Uchaguzi 02 Novemba 2024

    Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili INEC | Wilaya ya Hai NEC, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania. TANGAZO LA USAILI - UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA Afisa Mwandiikishaji wa Jimbo la Hai Vijijini na Jimbo la Vunjo anawatangazia waombaji wa nafasi za muda kama...
  7. G

    Ajira Majina ya Walioitwa kwenye Usaili INEC | Wilaya ya Moshi NEC 02 Novemba 2024

    Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili INEC | Wilaya ya Moshi NEC, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania. TANGAZO LA USAILI - UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA Afisa Mwandiikishaji wa Jimbo la Moshi Vijijini na Jimbo la Vunjo anawatangazia waombaji wa nafasi za muda...
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom