Ajira Portal | Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs, Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 02...
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA), Chuo cha Ufundi Arusha (ATC), Water Institute - WI anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba...
Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili IAE, MNMA December 2024 PDF. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE), Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa...
Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Utumishi Nyongeza December 2024. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI),, Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE) anapenda kuwataarifu...
Hii hapa Orodha ya Majina ya walioitwa kwenye Usaili Mkoa wa Geita | Ajira za Shirika la ICAP november 2024, Katibu Tawala Mkoa wa Geita anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote, kupitia tangazo la tarehe 19 Novemba 2024, kuwa usaili unatarajiwa kufanyika tarehe 03 Disemba 2024. Usaili huo...
Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili TANROADS Novemba 2024 | Kuitwa kwenye Interview Mkoa wa Njombe baada ya zoezi hili utaweza kuona matokeo ya usaili baada ya muda.
MENEJA WA KANDA, TANROADS – NJOMBE anahusika na usimamizi wa kila siku wa mtandao wa barabara kuu na za mkoa...
Haya hapa Matokeo ya Usaili Utumishi na Ajira Portal | Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yaliyo tangazwa na Sekretarieti ya Ajira Tanzania, orodha kamili ya majina ya waliotwa kufanya usaili yapo chini.
Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili...
Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili INEC | Wilaya ya Hai NEC, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania.
TANGAZO LA USAILI - UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Afisa Mwandiikishaji wa Jimbo la Hai Vijijini na Jimbo la Vunjo anawatangazia waombaji wa nafasi za muda kama...
Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili INEC | Wilaya ya Moshi NEC, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania.
TANGAZO LA USAILI - UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Afisa Mwandiikishaji wa Jimbo la Moshi Vijijini na Jimbo la Vunjo anawatangazia waombaji wa nafasi za muda...
Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi | Chuo cha Elimu na Biashara CBE, angalia PDF sehemu ya juu kwenye makala haya au kupitia ajira portal.
Chuo cha Elimu na Biashara kinapenda kuwajulisha waombaji kazi waliofanikiwa kuingia kwenye mchakato wa nafasi za Ajira ya Afisa...
Orodha ya majina ya Walioitwa kwenye Usaili Utumishi (PSRS) Taasisi Mbalimbali za Umma Octoba 2024, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) ni chombo cha serikali chenye hadhi ya Idara huru kilichoanzishwa mahsusi kuwezesha mchakato wa uajiri wa wafanyakazi katika Utumishi wa Umma...
PSRS: Leo Sekretarieti ya Ajira imetangaza orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili UDOM, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 29 Oktoba, 2024 na Tarehe 30 Oktoba, 2024 na hatimaye...