Walioitwa kwenye Usaili UDOM utumishi 23 Octoba 2024

Walioitwa kwenye Usaili UDOM utumishi 23 Octoba 2024

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026

Sia

Moderator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 20, 2024
Messages
1,651
PSRS: Leo Sekretarieti ya Ajira imetangaza orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili UDOM, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 29 Oktoba, 2024 na Tarehe 30 Oktoba, 2024 na hatimaye kuwapangia kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

Usaili utafanyika kuanzia tarehe 29 Oktoba, 2024 kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila kada.
RATIBA YA USAILI WA MCHUJO


MWAJIRI
KADA
TAREHE YA USAILI
MAHALI

Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)
ASSISTANT LIBRARIAN TRAINEE - LIBRARY AND INFORMATION STUDIES

29-10-2024 09:00 AM

UDOM- COLLEGE OF EDUCATION LIBRARY

Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

TUTORIAL ASSISTANT - PROJECT PLANNING MANAGEMENT

29-10-2024 09:00 AM
UDOM- COLLEGE OF HUMANITIES
AND SOCIAL SICENCES (CHSS_AB3_LR 01)

Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

TUTORIAL ASSISTANT - GEOLOGY

29-10-2024 08:00 AM
UDOM- COLLEGE OF EARTH
SCIENCES AND ENGINEERING
ADMINISTRATION BLOCK - BOARD
ROOM

Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)
ASSISTANT LIBRARIAN TRAINEE -
CLINICAL NUTRITION AND DIETECTICS

29-10-2024 09:00 AM

UDOM- COLLEGE OF EDUCATION LIBRARY
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ASSISTANT LIBRARIAN TRAINEE – ENVIRONMENTAL ENGINEERING 29-10-2024 09:00 AM UDOM- COLLEGE OF EDUCATION LIBRARY
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ASSISTANT LIBRARIAN TRAINEE – MEDICINE 29-10-2024 09:00 AM UDOM- COLLEGE OF EDUCATION LIBRARY
 
Back
Top Bottom