Wananchi, Hizi hapa Nafasi za kazi 4 PIVOTECH Ajira Mpya Kampuni ya PIVOTECH December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye siffa, nia, ari na vigezo vyote waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo.
PIVOTECH ni kampuni ya huduma za uhandisi inayobobea katika huduma za uendeshaji na...
Hizi hapa Nafasi za kazi Kwa niaba ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inakaribisha Watanzania wenye sifa, ujuzi, na ari ya kazi kujitokeza kuomba nafasi moja ya kazi kama ilivyoainishwa hapa chini December 2024.
Shirika la...
ajira mpya
ajira mpya tpdc
ajira tanzania
nafasizakazinafasizakazi tpdc
shirika la maendeleo ya petroli tanzania
shirika la maendeleo ya petroli tanzania (tpdc)
tpdc
Hizi hapa Nafasi za kazi Gran Melia Arusha December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye nia, ari na sifa kwa kufata vigezo vilivyo ainishwa katika tangazo hili.
ajira gran melia
ajira mpya
ajira tanzania
ajira za kupika chakula
ajira za wapishi
gran melia arusha
nafasiza chef
nafasizakazinafasizakazi gran melia
nafasiza upishi
TANGAZO LA KUITWA KAZINI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 03-09-2024 na tarehe 11-09-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili yatatolewa hivi karibuni. Orodha ya wagombea...
Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili IAE, MNMA December 2024 PDF. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE), Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa...
Hizi hapa Nafasi za kazi Zarnub Inter Trade December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye nia na sifa waweze kutuma maombi yao kuanzia siku ya leo.
Hizi hapa Nafasi za kazi kutoka Jhpiego Tanzania December 2024 zilizo tangazwa leo hii kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi kuanzia muda huu.
Jhpiego ni shirika lisilo la faida linaloongoza kimataifa katika kubuni na kutoa suluhisho bunifu za huduma za afya kwa nchi...
Chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro (MUM) ni taasisi ya elimu ya juu inayomilikiwa na Muslim Development Foundation (MDF). Chuo hiki kina maono ya kuwa kitovu cha ubora kwa kutoa programu za kisasa zinazokidhi mahitaji ya mtu binafsi na taifa kwa ujumla katika dunia ya kisasa, huku kikiongozwa na...
Hizi hapa Nafasi za Kazi kutoka Adundo Travel LTD November 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye nia, ari na sifa, waweze kutuma maombi kuanzia leo na mwisho wa kutuma maombi ni leo tarehe 29/11/2024.
Hili hapa Tangazo la Nafasi za kazi Alexia Hospital November 2024 lililo tangazwa kwa watanzania wote wenye nia, ari na sifa waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo.
Hizi hapa Nafasi za kazi Paylon LTD November 2024. Kampuni ya Fintech inayofanya kazi jijini Dar es Salaam, Tanzania, inatafuta kuajiri Afisa wa Hatari na Uzingatiaji (Risk and Compliance Officer) mwenye uzoefu na ari ya kazi kujiunga na timu yetu mahiri. Lengo ni kusaidia kushughulikia...
Tangazo la Ajira: Mkurugenzi Mtendaji (MD) - Mwananchi Communications Limited (MCL)
Kampuni: Nation Media Group (NMG)
Tawi: Mwananchi Communications Limited (MCL), Tanzania
Maelezo ya Nafasi:
Nation Media Group (NMG) inatafuta kiongozi mwenye uzoefu na maono makubwa kuchukua nafasi ya...
NAFASI YA KAZI: MADEREVA ( 10 )
KAMPUNI: MAFUTA NA GESI
HR World Ltd Kwa niaba ya mteja wetu, tuna tafuta madereva wa Malori (Gari kubwa) na magari aina ya Tipper.
MAHITAJI;
• Barua ya Maombi ya kazi na CV
• Leseni ya Udereva daraja E
• Barua ya kusitisha au kumaliza mkataba na...
Hizi hapa Nafasi za kazi Coolblue Tanzania LTD November 2024 zilizo tangazwa siku ya leo kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi kuanzia sasa.
Bodi ya Chinangali BBT AMCOS Limited inatangaza nafasi ya kujitolea ya MENEJA (1) na MHASIBU (1). Tunakaribisha maombi kutoka kwa waombaji wenye sifa na walio na nia ya kujifunza na kuleta mabadiliko chanya katika chama chetu.
MAJUKUMU YA MENEJA
Meneja wa Chama atakuwa na wajibu wa kusimamia...
Hizi hapa Nafasi za Kazi Nono Supermarket Tanzania zilizo tangazwa siku ya leo kwa watanzania wote wenye nia, ari na sifa, waweze kutuma maombi.
1. Wahudumu (Supermarket Assistant)
Majukumu:
Kusindikiza wateja
Kumsaidia mteja kupata bidhaa kwa urahisi
Kuhakikisha bidhaa zilizopngua zinafika...