Simba anaendelea kusalia pale juu nafasi ya kwanza na alama 40 akishinda michezo 13 sale 1 na kupoteza 1 huku akifunga mabao 31 na kuruhusu mabao 5 pekee.
Simba amekamilisha michezo yake yote ya Ungwe ya kwanza. Yanga mwenye alama 36 Nyuma ya Simba huku akiwa na Mchezo mmoja mkononi kukamilisha...
Klabu ya Singida Black Stars imetangaza viingilio vya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba SC.
Mchezo huo utapigwa Leo Jumamosi tarehe 28 December 2024, kuanzia saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa CCM Liti, Mkoani Singida.
Viingilio hivo vimetajwa kuwa Kwa mzunguuko itakuwa ni Tsh 10,000, huku...
KIKOSI Cha Simba SC vs Singida Black Stars Leo 28 December 2024
Klabu ya Simba SC itakuwa ugenini kucheza mchezo unaofuata wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Black Stars FC.
Mchezo huo utapigwa December 28, 2024 kwenye Uwanja wa Liti Mkoani Singida.
Kuelekea mchezo huo, Wananchiforum...
Performance bora kutoka kwa kipa Wa JKT,Yakoub Suleiman🙌
Kipindi cha kwanza amefanya saves Za kutosha ila ile ya kichwa cha Ateba inaweza kuwa Save bora ya mwaka.
Jamaa yuko active Muda wote,anasoma vizuri movement Za Wachezaji Wa Simba kabla hawajapiga.
Simba iliwabidi kutumia njia mbadala...
Leo saa 10 jioni kikosi Cha Simba sports club kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili JKT Tanzania katika muendeleo wa Ligi Kuu ya NBC.
Hapana shaka mchezo wa leo utakuwa mgumu kutokana na JKT kuundwa na nyota wengi wazoefu ambao walicheza kwenye kikosi cha Simba sports club kwa nyakati...
Hii hapa Ratiba ya Mechi za Leo Jumanne 24 December 2024
Tanzania – NBC Premier League
14:00 Singida Black Stars vs KenGold
16:15 Simba SC vs JKT Tanzania
Ivory Coast – Ligue 1
18:30 ASEC Mimosas vs AS Denguele
18:30 Club Omnisports de Korhogo vs Stade D’abidjan
Egypt – Premier League
18:00...
Mchezo ulianza kwa timu zote kufanya makosa yanayofanana : kila timu walipoteza mipira kirahisi “Pass” lakini Yanga quality imeamua mchezo.
Yanga na 4-2-3-1 kama kawaida yao lakini wakiwa na mali wanabadilika na kuwa 2-4-3-1 (Job na Bacca wanakuwa nyuma ya Aucho na Muda + Kibwana na Kibabage...
Ramovic kama kawaida yake na 4-2-3-1 , wakiwa na umiliki wa mpira wanaswitch na kuwa 2-3-2-3 (CBs wawili nyuma then Kibwana na Yao wanasogea juu mstari mmoja na Aucho huku Duke na Aziz Ki kama namba 10 wawili nyuma ya Pacome , Mzize na Dube walitengeneza uwiano mzuri eneo la mbele wakiwa na...
Hiki hapa Kikosi Cha Yanga vs Mashujaa Leo 19 December 2024
1:Khomeiny Abubakar
2:Kouassi Yao
3:Kibwana Shomari
4: Dickson Job (C)
5:Ibrahim Abdallah
6:Khalid Aucho
7:Clement Mzize
8:Duke Abuya
9:Prince Dube
10:Stephen Aziz Ki
11:Pacome Zouzoua
Hiki hapa Kikosi Cha Mashujaa Fc kinachoanza...
Kikosi cha Simba sports club kinaondoka leo saa tano asubuhi kuelekea Bukoba, Kagera kwa ajili ya mchezo dhidi ya Kagera Sugar, utakaopigwa jumamosi ya Desemba 2, 2024.
Baada ya mechi jana wachezaji waliruhusiwa kurudi nyumbani kwao kwaajili ya mapumziko na Sasa wamewasili kambini tayari Kwa...
Simba wameifunga Ken Gold katika Ligi kuu ya Nbc Tanzania Magoli mawili "2" Kwa sufuri, Magoli yote yakifunga na Mchezaji Wao hatari Leonel Ateba katika dakika ya 41 na 44 kipindi Cha Kwanza.
Simba Sasa anafikisha alama 31 katika michezo 12 ya Ligi kuu Nbc Tanzania.
Mfungaji Leonel Ateba nae...
Mchezo namba 125 wa ligi kuu ya NBC kati ya Tabora United dhidi ya Simba SC uliokuwa uchezwe December 28 umeondolewa kwenye ratiba na utapangiwa tarehe nyingine sababu kubwa ya mchezo huo kuondolewa kwenye ratiba Simba kuanza mzunguko wa pili huku ikiwa na mchezo wa raundi ya kwanza haujachezwa...
Hizi hapa tetesi za usajiri kunako katika club ya Simba sports.
Baada ya Dirisha dogo Jana December 15, 2024 kufunguliwa Viongozi wa wekundu hao hii Leo Tarehe 16 wamekamilisha kumuingiza Kwenye mfumo wa usajiri TFF winga wao mpya Elie Mpanzu Kibisawala rasimi kuanza kukitumikia Kikosi hicho...