simba

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
  1. Mchezo Unaofuata Simba Ni Dhidi Ya Bravo do Maquis Kwenye TotalEnergiesCAFCC 2024/2025

    Mchezo Unaofuata Simba Ni Dhidi Ya Bravo do Maquis Kwenye TotalEnergiesCAFCC 2024/2025

    Klabu ya Simba sports club itasafiri tena Kuwafuata bravo do Maquis nchini Angola katika michuano ya shirikisho barani Africa CAFCC. Mchezo Huo ni Mchezo mhimu sana Kwa Mnyama Simba kwani endapo akashinda au kutoa sare itampa nafasi ya kufuzu Moja Kwa Moja Kwenye hatua ya robo fainali Africa...
  2. Msimamo Wa Makundi TotalEnergies CAFCC 2024/2025 Baada Ya Michezo Ya Ungwe Ya Nne Kukamilisha

    Msimamo Wa Makundi TotalEnergies CAFCC 2024/2025 Baada Ya Michezo Ya Ungwe Ya Nne Kukamilisha

    Huu hapa msimamo wa Makundi yote ya Kombe la shirikisho barani Africa CAFCC baada ya michezo ya Ungwe ya Nne Kukamilisha jana
  3. Je, Kikosi cha SIMBA SC Vs CS SFAXIEN Leo Tarehe 05 Januari 2024 Kitatoboa?

    Je, Kikosi cha SIMBA SC Vs CS SFAXIEN Leo Tarehe 05 Januari 2024 Kitatoboa?

    Kikosi chetu cha Simba Sc kinapambana leo na CS Sfaxien – Kombe la Shirikisho Afrika Leo saa moja usiku, kikosi cha Simba kitashuka dimbani katika Uwanja wa Hammadi Agrebi, Tunis, kupambana na CS Sfaxien katika mchezo wa nne wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Ni mechi ya ugenini...
  4. Ahmed Ally Wa Simba Leo Afikisha Miaka Mitatu Ndani Ya Simba Sports Club.

    Ahmed Ally Wa Simba Leo Afikisha Miaka Mitatu Ndani Ya Simba Sports Club.

    Januari 3 2025 CEO wa Simba SC wakati huo, Madam Babra Gonzalez alimuajiri Ahmed Ally kama Meneja wa habari na mawasiliano wa Klabu Leo ni miaka mitatu Ahmed Ally amekua kipenzi cha Wanachama na mashabiki wa Simba Sports Club Hongera Babra kwa zawadi hii Kwa wanalunyasi Simba sports club.
  5. Mchezo Umetamatika: Singida bs 0 vs 1 Simbasc Nbc PL 2024/2025

    Mchezo Umetamatika: Singida bs 0 vs 1 Simbasc Nbc PL 2024/2025

    Plan ya Fadlu Davids imeanzia kWa huyu mwamba “Jean Charles Ahoua” wakati timu inashambulia kuwa na uharaka wa kufanya maamuzi na pass sahihi kwenda mbele 👏 Ahoua akiwa na mali Kibu anakuwa wides zaidi the same na Mpanzu + Mukwala sio standing straiker anamove nafasi nyingine (spaces zinakuwa...
  6. Magazeti Ya Michezo Leo Jumapili 22 December 2024

    Magazeti Ya Michezo Leo Jumapili 22 December 2024

    Haya Hapa Magazeti Ya Mchezo ya Tanzania Leo Jumapili 22 December 2024
  7. Msimamo wa Ligi kuu Nbc Tanzania Bara.

    Msimamo wa Ligi kuu Nbc Tanzania Bara.

    SIMBA SC KATIKA LIGI KUU MPAKA SASA ➡️ROUND 13.✅ ⚽MOST GOALS 🇨🇮Jean Charles Ahoua - 6 🇨🇲Leonel Ateba - 5 🇺🇬Desse Mukwala - 4 🇹🇿Valentino Mashaka - 2 🇨🇲Che Melone - 2 🇹🇿Awesu Awesu - 2 🇹🇿Edwin Balua - 2 🇨🇩Fabrice Ngoma - 2 🇹🇿Shomari Kapombe - 2 🇨🇬Debora Fernandez - 1 🇹🇿Mohammed Hussein - 1...
  8. G

    Mechi ya SIMBA SC Vs KENGOLD itaanza Saa ngapi Leo?

    Mechi ya Simba SC dhidi ya KenGold inatarajiwa kuwa ya kusisimua sana! Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, watakuwa wenyeji wa KenGold kutoka Mbeya kwenye Uwanja wa KMC Complex, Mwenge. Huu ni mchezo wa Ligi Kuu, na Simba SC wanaingia wakiwa na morali ya juu baada ya ushindi wa dakika za mwisho dhidi...
  9. Kikosi Cha SIMBA SC Vs CS SFAXIEN Leo Tarehe 15 December

    Kikosi Cha SIMBA SC Vs CS SFAXIEN Leo Tarehe 15 December

    🚨 Kikosi kinachoanza dhidi ya CS Sfaxien 🇬🇳 Moussa CAMARA 🇹🇿 Shomari KAPOMBE 🇹🇿 Mohamed HUSSEIN 🇹🇿 Abdulrazack HAMZA 🇨🇲 Che MALONE 🇨🇬 Deborah FERNANDEZ 🇨🇩 Fabrice NGOMA 🇹🇿 Awesu AWESU 🇨🇲 Leonel ATEBA 🇨🇮 Jean AHOUA 🇹🇿 Kibu DENIS SUBS: Salim, Kijili, Nouma, Mzamiru, Fernandez...
  10. Kikosi cha SIMBA SC Vs CS SFAXIEN Leo Jumapili Tahere 15 Disemba 2024 Kombe la Shirikisho la CAF

    Habari za Michezo Kikosi cha SIMBA SC Vs CS SFAXIEN Leo Jumapili Tahere 15 Disemba 2024 Kombe la Shirikisho la CAF

    Mechi inayosubiriwa kwa hamu kati ya Simba SC ya Tanzania na CS Sfaxien ya Tunisia kwenye Kombe la Shirikisho la CAF ni zaidi ya pambano la pointi tatu. Huu ni mchezo wa heshima, historia, na nafasi ya kuonyesha ubabe kwenye soka la Afrika. Mashabiki wa soka barani Afrika wanatarajia burudani ya...
  11. VITUO VYA TIKETI MECHI YA SIMBA SC vs CS SFAXIEN

    VITUO VYA TIKETI MECHI YA SIMBA SC vs CS SFAXIEN

    Hivi hapa vituo vya tiketi mechi za Simba SC Mnyamaa
  12. jinsi ya kununua tiketi kupitia mitandao ya simu kwa kutumia N-Card mechi za Simba SC

    jinsi ya kununua tiketi kupitia mitandao ya simu kwa kutumia N-Card mechi za Simba SC

    Maelekezo ya jinsi ya kununua tiketi kupitia mitandao ya simu kwa kutumia N-Card kwa wateja wa mitandao mbalimbali, ikiwa ni kwa ajili ya mechi za Simba SC. Maelekezo hayo yanahusu Vodacom M-Pesa, Tigo Pesa, TTCL Pesa, na Airtel Money. Yafuatayo ni maelezo kamili: Vodacom M-Pesa Piga 150*00#...
  13. Kikosi cha SIMBA SC Vs CS Constantine Leo Tarehe 08 December 2024 Mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika Hiki Hapa

    Habari za Michezo Kikosi cha SIMBA SC Vs CS Constantine Leo Tarehe 08 December 2024 Mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika Hiki Hapa

    Kikosi cha SIMBA SC Vs CS Constantine Leo Tarehe 08 December 2024 Mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika Hiki Hapa hatua ya makundi. Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, ameweka wazi kuwa timu yake itaingia uwanjani kwa mpango maalum, huku wapinzani wao wakikumbwa na changamoto ya kuwakosa wachezaji...
  14. G

    Habari za Michezo Simba SC Kuwakabili CS Constantine: Vita ya Kudhibiti Brahim Dib

    Simba SC wanajiandaa kwa mechi muhimu ya CAF Confederation Cup dhidi ya CS Constantine ya Algeria, huku macho yote yakiwa kwa kiungo mahiri Brahim Dib. Dib amekuwa moto msimu huu, akifunga mabao matano kwenye mechi 11 za ligi, pamoja na hat-trick ya kuvutia dhidi ya JS Kabylie, na pia kufunga...
  15. Jezi Mpya za Simba SC zitakazo tumika Kombe la Shirikisho Afrika 2024/25

    Habari za Michezo Jezi Mpya za Simba SC zitakazo tumika Kombe la Shirikisho Afrika 2024/25

    Uzi wa Mnyama ambao tutatumia katika Kombe la Shirikisho Afrika 2024/25 🔥 #WenyeNchi #NguvuMoja Kama ilivyotangazwa kwamba leo Novemba 20 Timu ya @simbasctanzania Itazindua jezi mpya zitakazo tumika kwenye michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika msimu wa 2024/25.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom