Hizi hapa tetesi za usajiri kunako katika club ya Simba sports.
Baada ya Dirisha dogo Jana December 15, 2024 kufunguliwa Viongozi wa wekundu hao hii Leo Tarehe 16 wamekamilisha kumuingiza Kwenye mfumo wa usajiri TFF winga wao mpya Elie Mpanzu Kibisawala rasimi kuanza kukitumikia Kikosi hicho...
Wawakirishi pekee wa Tanzania katika michuano ya shirikisho Africa Leo Simba sports club kukipinga na CS SFAXIEN saa 10:00 jioni, uwanja wa Mkapa Tanzania
Simba sports club Kwa Sasa wanashika nafasi ya pili wakiwa na alama tatu Nyuma ya kinara wa kundi Cs Constantine ya Algeria yenye alama 6...