Afisa Mwandikishaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo wametangaza Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili INEC December 2024 waombaji wa kazi za muda za Mwandikishaji Msaidizi na Mwendesha BVR kuhusu usaili unaotarajiwa kufanyika kama ifuatavyo:
Tarehe na Muda wa Usaili:
Tarehe: 11/12/2024...
Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili INEC Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Iringa Mjini anapenda kuwataarifu waombaji wa kazi ya muda ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kuwa usaili utafanyika kama ifuatavyo:
Tarehe: Kuanzia Jumanne, 10/12/2024 hadi Jumatano...