Wilaya ya Kilolo wametangaza Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili INEC December 2024

Wilaya ya Kilolo wametangaza Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili INEC December 2024

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,737
Afisa Mwandikishaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo wametangaza Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili INEC December 2024 waombaji wa kazi za muda za Mwandikishaji Msaidizi na Mwendesha BVR kuhusu usaili unaotarajiwa kufanyika kama ifuatavyo:

Tarehe na Muda wa Usaili:

  • Tarehe: 11/12/2024
  • Muda: Saa 2:00 asubuhi
Wilaya ya Kilolo wametangaza Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili INEC December 2024

Sehemu za Kufanyia Usaili:

  1. Kwa Kata za Ukanda wa Juu:
    • Ukumbi wa Kilolo Sekondari
  2. Kwa Kata za Ukanda wa Chini:
    • Ukumbi wa Ilula Sekondari

Tafadhali Kumbuka:

  • Kuja na Biki.
  • Orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili imeambatishwa kwa ajili ya marejeo.
Imetolewa na:
Afisa Mwandikishaji
Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo

Pakua PDF hapa chini.
 

Download PDF

Back
Top Bottom