S

Nafasi 34 za Ajira Mpya Kutoka Wilaya ya Hanang Utumishi Octoba 2024

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Sia

Moderator

Staff member
Reputation: 44%
Joined
Oct 20, 2024
Messages
372
PSRS: Sekretarieti ya Ajira leo tarehe 23, 2024 wametangaza nafasi za kazi katika ajira mpya Mkurugenzi amepata kibali kipya cha ajira kwa ikama ya mwaka 2023/2024 chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25.06.2024 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Kufuatia kibali hicho Mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Hanang anakaribisha maombi kwa watanzania wenye sifa za kujaza nafasi za kazi zifuatazo :-

Nafasi zilizo tangazwa​

  1. Mtendaji wa kijiji - Nafasi 20
  2. Dereva II - Nafasi 4
  3. Msaidizi wa kumbukumbu daraja la II - Nafasi 5
  4. Mwandishi mwendesha ofisi daraja la II - Nafasi 5
Barua ya maombi iandikwe kwa Kiswahili au Kiingereza
Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 31 Oktoba, 2024

Kumbuka kuambatanisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu

 
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom