Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili INEC Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Iringa Mjini anapenda kuwataarifu waombaji wa kazi ya muda ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kuwa usaili utafanyika kama ifuatavyo:
Tarehe: Kuanzia Jumanne, 10/12/2024 hadi Jumatano...
Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Semina Ajira za INEC 2024. Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Moshi Vijijini na Jimbo la Vunjo anawatangazia wale wote waliofaulu usaili wa waandikishaji wasaidizi na waendeshaji wa vifaa vya bayometriki (BVR) kama walivyotangaziwa kwenye tangazo la...