Haya hapa matokeo ya usaili wa vitendo uliofanyika tarehe 06/05/2025 Ajira portal Wasailiwa wote waliochaguliwa kuendelea na hatua zinazofuata wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na...
Kibali cha Ajira Mpya 33,212 Walimu, Afya na kada Mbalimbali Utumishi. Jitihada za serikali katika kipindi hiki cha Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ajira mpya zilizokuwa zimejazwa ni takriban ajira 149,000, lakini ajira mbadala ambazo Rais Samia Suluhu Hassan alitoa...
Haya hapa matokeo ya usaili Ajira Portal wa kuandika ulifanyika tarehe jana tarehe 04/01/2025
Sekretarieti ya Ajira Utumishi
Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)...
Maombi yanakaribishwa kutoka kwa watumishi wa serikali wa Tanzania wenye sifa, ili kujiunga na kozi za mafunzo zifuatazo ambazo zitafanyika nchini India.
A. Ugaramiaji wa masomo
Gharama zote za mafunzo chini ya Mpango huu, ikijumuisha tiketi za ndege za kwenda na kurudi, ada za masomo, malazi...
Hivi hapa Vitu vya kuzingaia unapokwenda kwenye Usaili Ajira Portal katika saili mbalimbali zinazofanyishwa na Sekreatrieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa kada zote.
Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Ajira Portal - Taasisi Mbalimbali Serikalini. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 21 Aprili 2024 na tarehe 18 Novemba 2024 kuwa matokeo ya...
Ajira Portal | Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs, Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 02...
Wananchi, Hizi hapa Nafasi za kazi 73 Wizara ya Ardhi December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye siffa, nia, ari na vigezo vyote waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo zilizo tangazwa na Sekretarieti ya Ajira kupitia Utumishi wa Umma Ajira portal.
Wizara ya Ardhi ilianzishwa kama...
ajira
ajira mpya wizara ya ardhi
ajira portal
ajira wizara ya ardhi
nafasi za kazi
nafasi za kazi ajira portal
nafasi za kazi wizara ya ardhi
sekretarieti ya ajira
utumishi
wizara ya ardhi
Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Wilaya ya Sengerema December 2024. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawafahamisha waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 09-09-2024 kuwa matokeo ya waliofaulu sasa yanapatikana. Hii ni hatua muhimu katika...
Wananchi, Hizi hapa Nafasi za kazi ICGLR Utumishi December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye siffa, nia, ari na vigezo vyote waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo.
Kwa niaba ya Sekretarieti ya Mkutano wa Kimataifa wa Kanda ya Maziwa Makuu (ICGLR), Ofisi ya Rais – Menejimenti ya...
Haya hapa Matokeo ya Usaili wa Vitendo TATC, TIE, NIT December 2024, yaliyo tangazwa na Sekretarieti ya Ajira Tanzania uliofanyika tarehe 9 Desemba 2024, orodha kamili ya majina yapo chini hapa. Pia unaweza kuona katika akaunti yako ya Ajira portal.
Usaili wa Vitendo TATC, TIE, NIT
ARTISAN...
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) ni chombo muhimu cha serikali kilichoundwa kusaidia mchakato wa kuajiri wafanyakazi wenye ujuzi, sifa, na weledi unaohitajika katika sekta ya umma. Kwa kuwa ni chombo huru, PSRS inahakikisha mchakato wa ajira unafuata viwango vya uwazi, usawa...
Wananchi, Haya hapa Matokeo ya Usaili wa kuandika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) December 2024 yaliyo tangazwa na Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma. Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na...
Haya hapa Matokeo ya Usaili wa Vitendo UDSM, TMA December 2024 kutoka Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma. Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili, Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) Wasailiwa...
Haya hapa Matokeo ya Usaili Ajira Portal na Utumishi wa Kuandika UDSM, NIT, TMA, yaliyo tangazwa na Sekretarieti ya Ajira Tanzania uliofanyika tarehe 7 Desemba 2024, orodha kamili ya majina ya waliotwa kuendelea na usaili na waliofaulu yapo chini hapa.
Angalizo: Wasailiwa wote waliochaguliwa...
Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili MJNUAT. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius K. Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT), anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili utafanyika kuanzia...
ajira portal
ajira tanzania
chuo kikuu cha mwalimu julius k. nyerere
kilimo
kuitwa kwenye usaili mjnuat
kuitwa kwenye usaili utumishi
mjnuat
usaili mjnuat
utumishi
walioitwa kwenye usaili mjnuat
HAYA HAPA MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA SHIRIKA LA NYUMBU (TATC) ULIOFANYIKA TAREHE 06/12/2024
Mwongozo:
Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili., Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates), Wasailiwa wote...
TANGAZO LA KUITWA KAZINI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 03-09-2024 na tarehe 11-09-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili yatatolewa hivi karibuni. Orodha ya wagombea...
afya
ajira portal
ajira za afya
kuitwa kazini
kuitwa kazini ajira portal
kuitwa kazini utumishi
nafasi za kazi
psrs
sekretarieti ya ajira
utumishi
walioitwa kazini afya