Wanannchi, Hizi hapa Ajira Mpya 13 Benki Kuu ya Tanzania (BOT) December 2024. Benki Kuu ya Tanzania, ambayo ni Benki Kuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ilianzishwa kupitia Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 1965 na kuanza rasmi kazi tarehe 14 Juni 1966. Katika miaka iliyopita, sheria...
Wasailiwa wa nafasi mbalimbali katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) mnajulishwa kuwa, usaili wa vitendo na mahojiano wa tarehe 5 na 6 Disemba, 2024 utafanyika katika ukumbi wa MOI Phase III uliopo jengo jipya la MOI. Aidha, muda wa kufanya usaili utabaki kama ulivyo kwenye tangazo la kuitwa...
HAYA HAPA MATOKEO YA USAILI WA VITENDO CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI NA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI ULIOFANYIKA TAREHE 04/12/2024 KUTOKA SEKRETARIETI YA AJIRA KUPITIA UTUMISHI WA UMMA.
Mwongozo: Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili, Wasailiwa...
ajira portal
chuo kikuu cha ushirika moshi
matokeo ya usaili mocu
matokeo ya usaili utumishi
mocu
sekretarieti ya ajira
usaili
usaili ajira portal
utumishi
HAYA HAPA MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT) ULIOFANYIKA TAREHE 04/12/2024
Mwongozo:
Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili., Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)...
Wasailiwa wa kada zote zilizopangiwa kufanya usaili wa mahojiano tarehe 7 Disemba 2024 katika chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) mnajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya tarehe ya kufanya usaili huo. Usaili wa mahojiano utafanyika tarehe 6 Disemba 2024 badala ya tarehe iliyotangazwa awali. Aidha...
Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili IAE, MNMA December 2024 PDF. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE), Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa...
Hizi hapa Nafasi za kazi 11 kutoka DUCE Desemba 2024 | Ajira mpya Chuo Shirikishi cha Elimu Dar es Salaam, zilizo tangazwa kupitia Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma leo kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi.
Pakua PDF hapa chini, kama una swali unauliza uliza hapo...
Hizi hapa Nafasi za Ufadhili wa Masomo Kozi za Mafunzo KOICA 2025 Nchini Korea Kusini kupitia Utumishi, wametangaza fursa hii kwa watanzania wote wenye sifa kuanzia leo.
Mwongozo wa KOICA Scholarship
Pitia haya makala ili uweze kutuma maombi yako katika programu mbalimbali zilizo tangazwa...
Programu ya Scholarship ya KOICA (SP) imeundwa kwa lengo la kuwanoa viongozi muhimu katika nchi washirika ili kuchangia maendeleo ya kijamii na kiuchumi katika nchi zao.
KOICA inatoa programu 15 za shahada ya uzamili katika awamu hii ya maombi. Kabla ya kutuma maombi, tafadhali rejea taarifa za...
Hivi hapa sifa na Vigezo vya Kuomba Nafasi au kujiunga na Mafunzo ya KOICA 2025 kupitia Utumishi nchini Korea kusini kwa watanzania wote.
i. Awe mtumishi wa umma,
ii. Awe na umri wa miaka chini ya 40 kwa ujumla, au umri maalum kama unavyotakiwa na Chuo Kikuu,
iii. Awe na angalau uzoefu wa miaka...
Maombi yanakaribishwa kutoka kwa maafisa waliokidhi vigezo kutoka Utumishi wa Umma ili kujiunga na kozi za muda mrefu nchini Korea Kusini.
Fursa za mafunzo zilizopo kwa sasa ni kama ifuatavyo kwenye PDF hapo chini:-
Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Utumishi Nyongeza December 2024. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI),, Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE) anapenda kuwataarifu...
Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa kazini Utumishi Nyongeza December 2024. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI),, Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE) anapenda kuwataarifu Waombaji...
Hili hapa tangazo la Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Utumishi November 2024. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST), Chuo cha Ufundi Arusha (ATC), Water Institute - WI, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)...
kuitwa kwenye usaili must
kuitwa kwenye usaili utumishi
kuitwa kwenye usaili wi
utumishi
walioitwa kwenye usaili atc
walioitwa kwenye usaili udsm
walioitwa kwenye usaili utumishi
Hizi hapa Nafasi za Mhudumu wa Jikoni Kutoka Manispaa ya Iringa November 2024 zilizo tangazwa kupitia Sekretarieti ya Ajira kutpitia Utumishi wa Umma.
Bonyeza hapa kutuma maombi
Kwa niaba ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inakaribisha Watanzania wenye sifa na uwezo unaohitajika kuomba nafasi kumi (10) za kazi zilizotajwa hapa chini.
NAFASI: MSAIDIZI WA HUDUMA KWA WATEJA DARAJA LA II – NAFASI 10
MWAJIRI...
Hili hapa Tangazo la nafasi za kazi kutoka Bariadi November 2024. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi amepokea kibali cha ajira mpya katika mwaka wa fedha 2023/2024 chenye Kumb.Na FA.97/288/01/09 cha tarehe 25/06/2024 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya...
Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa | Kuitwa Kazini Ajira Portal, Utumishi | Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) leo tarehe 12 Novemba 2024.
Naibu Rasi - Mipango, Fedha na Utawala wa Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) anapenda kuwataarifu waombaji kazi mbalimbali waliofanya usaili...
Haya hapa Matokeo ya Usaili Ajira Portal, Utumishi wa Umma, Serikalini | Taasisi Mbalimbali TRC, GPSA, TAFIRI, TGDC,TBC yaliyo tangazwa na Sekretarieti ya Ajira Tanzania uliofanyika tarehe 09/11/2024, orodha kamili ya majina ya waliotwa kufanya usaili wa kuandika yapo chini.
Matokeo ya usaili...
Hatua Muhimu za au jinsi ya Kuomba Kibali cha Uhamisho kwa Mtumishi | Watumishi wa Umma 2024/2025 Kutoka kwa Katibu Tawala wa Mkoa kwenda TAMISEMI.
Kwa mtumishi anayehitaji kuhamishwa kwenda sehemu nyingine kupitia TAMISEMI, ni muhimu kuwa na nyaraka zote zinazohitajika ili kuharakisha mchakato...