Kocha Fadlu Davids amewapa mapumziko ya siku mbili wachezaji wake ambapo ni leo na kesho Jumatatu
Kikosi kitarejea mazoezini Jumanne asubuhi na jioni kitaanza safari kuelekea Tunisia kwaajili ya mchezo wa CAFCC dhidi ya CS Sfaxien utakaochezwa jumapili ya Januari 5 mwakani 2025
Simba watafika...
Michuano ya Mapinduzi Cup 2025 inatarajiwa Kuanza rasmi January 03,2024 huku Fainali zikitarajiwa kufanyika January 13,2024.
Droo ya kupanga Makundi itafanyika kwenye Uwanja wa Gombani Pemba, ambao utatumika kama uwanja wa mashindano baada ya uwanja wa Amaan kuwa kwenye maboresho.
Kwa mujibu...
Simba wameifunga Ken Gold katika Ligi kuu ya Nbc Tanzania Magoli mawili "2" Kwa sufuri, Magoli yote yakifunga na Mchezaji Wao hatari Leonel Ateba katika dakika ya 41 na 44 kipindi Cha Kwanza.
Simba Sasa anafikisha alama 31 katika michezo 12 ya Ligi kuu Nbc Tanzania.
Mfungaji Leonel Ateba nae...
Hizi hapa Nafasi za kazi Mansour December 2024. Kufanya shughuli ngumu za upangaji wa usafirishaji na usambazaji wa bidhaa kwa kiwango cha juu, huku ukisimamia kwa uhuru mdogo. Hakikisha utekelezaji wa mbinu bora za usafirishaji na usimamizi wa bidhaa.
Msimamizi wa Usafirishaji - Sekta ya...