Wachezaji Simba sports club Wapewa Mapumziko.

Wachezaji Simba sports club Wapewa Mapumziko.

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Revoo

Member

Reputation: 22%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
194
Kocha Fadlu Davids amewapa mapumziko ya siku mbili wachezaji wake ambapo ni leo na kesho Jumatatu

Kikosi kitarejea mazoezini Jumanne asubuhi na jioni kitaanza safari kuelekea Tunisia kwaajili ya mchezo wa CAFCC dhidi ya CS Sfaxien utakaochezwa jumapili ya Januari 5 mwakani 2025

Simba watafika Tunisia Jumatano na watafanya mazoezi kwa siku 4 kabla ya mchezo.
FB_IMG_1735469687356.webp

Huku Kiungo Fundi Jean Ahoua amemaliza mzunguko wa kwanza.

Goli 7
Assist 5
IMG-20241224-WA0035.webp
 
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom