yanga sc

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
  1. Msimamo Wa Ligi Kuu Nbc PL Leo 29 December 2024.

    Msimamo Wa Ligi Kuu Nbc PL Leo 29 December 2024.

    Baada ya michezo miwili ya Nbc PL Leo, huu hapa msimamo wa Ligi ya Nbc PL Tanzania 2024/2025.
  2. Mchezo Umetamatika: Yanga 5 vs 0 Fountain Gate Nbc PL 2024/2025

    Mchezo Umetamatika: Yanga 5 vs 0 Fountain Gate Nbc PL 2024/2025

    Yanga walianza na mikakati sahihi , wakiwa na mpira 2-3-4-1 (Joba na Bacca wanakuwa nyuma then Aucho mbele yao “Pembe tatu shape” huku Kibwana na Boka wanakuwa mstari mmoja then Muda anasogea juu sawa na Aziz Ki , Pacome na Mzize …. Baada ya hapo matokeo yake yalikuwa ni nini ? Yanga walifanya...
  3. Magazeti Ya Michezo Leo Jumatano 25 December 2024

    Magazeti Ya Michezo Leo Jumatano 25 December 2024

    Haya hapa Magazeti Ya Michezo Leo Jumatano 25 December 2024
  4. Magazeti Ya Michezo Leo Jumapili 22 December 2024

    Magazeti Ya Michezo Leo Jumapili 22 December 2024

    Haya Hapa Magazeti Ya Mchezo ya Tanzania Leo Jumapili 22 December 2024
  5. Kikosi cha YANGA SC Vs TP MAZEMBE Leo Tarehe 14 December 2024 Hiki Hapa

    Kikosi cha YANGA SC Vs TP MAZEMBE Leo Tarehe 14 December 2024 Hiki Hapa

    Kikosi cha YANGA SC Vs TP MAZEMBE Leo Tarehe 14 December 2024 Hiki Hapa Kikosi kinachoanza dhidi ya TP Mazembe
  6. Yanga SC Kujipanga kwa Ushindi Dhidi ya MC Alger Katika Ligi ya Mabingwa Afrika

    Habari za Michezo Yanga SC Kujipanga kwa Ushindi Dhidi ya MC Alger Katika Ligi ya Mabingwa Afrika

    Baada ya kupoteza mchezo wao wa awali wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, klabu ya Young Africans SC (Yanga) ya Tanzania imeweka azma ya kuibuka na ushindi dhidi ya MC Alger ya Algeria. Mchezo huu wa Kundi A unatarajiwa kuwa wa ushindani mkali, huku kila timu ikihitaji pointi muhimu...
  7. Kikosi cha YANGA SC Vs MC ALGER Leo Tarehe 07 December 2024 Mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika Hiki Hapa

    Habari za Michezo Kikosi cha YANGA SC Vs MC ALGER Leo Tarehe 07 December 2024 Mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika Hiki Hapa

    Kikosi cha YANGA SC Vs MC ALGER Leo Tarehe 07 December 2024 Mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika Hiki Hapa. Mashindano haya yanachangia si tu sifa ya klabu, bali pia kukuza hadhi ya soka la Tanzania katika ngazi ya kimataifa. Mashabiki wa soka wanashauriwa kufuatilia mechi hii moja kwa moja, ikiwa...
  8. KIKOSI CHA YANGA LEO VS KINACHOANZA LEO DHIDI YA MC ALGER MECHI YA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DESEMBER 2024

    Habari za Michezo KIKOSI CHA YANGA LEO VS KINACHOANZA LEO DHIDI YA MC ALGER MECHI YA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DESEMBER 2024

    HIKI HAPA KIKOSI CHA YANGA LEO VS KINACHOANZA LEO DHIDI YA MC ALGER MECHI YA LIGI YA MABINGWA AFRIKA TAREHE 7 DESEMBER 2024 Mambo vipi mwanamichezo, ni wakati mwingine kabisa tujadili au kujuzana yale yote yanayo endelea ndani ya kikosi cha Yanga SC kutoka kule Algeria, Tunafahamu ya kwamba...
  9. Habari Mpya Kutoka Yanga SC: Benchi la Ufundi laimarishwa

    Habari za Michezo Habari Mpya Kutoka Yanga SC: Benchi la Ufundi laimarishwa

    Leo Young Africans SC itakuwa na matukio mawili makubwa yenye umuhimu wa kipekee kwa Wananchi. Tukio la kwanza linahusu maboresho ya benchi letu la ufundi. Habari hizi muhimu zitatangazwa kupitia Yanga SC APP, kama ilivyokubaliwa na Wananchi – taarifa yoyote isiyo kwenye Yanga SC APP haina...
  10. Christina Mwagala wa Tabora United Awachimba Yanga SC: "Wakiona Hawawezi, Waombe Mechi Irudiwe!"

    Christina Mwagala wa Tabora United Awachimba Yanga SC: "Wakiona Hawawezi, Waombe Mechi Irudiwe!"

    Christina Mwagala, Afisa Habari wa klabu ya Tabora United, ameonesha msimamo mkali dhidi ya Yanga SC baada ya mechi iliyochezwa jana. Katika mazungumzo yake na wanahabari, Christina alionyesha kutokujali kuhusu malalamiko ya Yanga SC akisema kuwa, kama wanaona hawakuridhishwa na matokeo, wana...
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom