- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 192
Tunaenda kwa Al Hilal kupata alama tatu, hatuna presha na hata msimu uliopita wachezaji walikutana na hali kama hii, sisi tunajiamini na tumejiandaa kurudi na alama tatu.
Tumeshamaliza home work yetu, tumewaangalia na kuchambua makosa ya mechi yetu ya mwisho na wao wanajua wapi sisi ni hatari, tunaenda kucheza mechi ngumu wachezaji wetu wamejianda kwenda kucheza hii mechi ngumu na hesabu zetu ni kurudi na alama tatu.
Abdi Hamid Moalin Mkurugenzi wa Ufundi/Kocha Msaidizi Yanga.