Abdi Moalin "Tunakwenda Kushinda Kwa Al Hilal" Kwenye Michuano Ya Klabu Bingwa Africa Hatua Ya Makundi TotalEnergies CAFCL

Abdi Moalin "Tunakwenda Kushinda Kwa Al Hilal" Kwenye Michuano Ya Klabu Bingwa Africa Hatua Ya Makundi TotalEnergies CAFCL 2024/2025

Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano au Jinsi ya kuangalia selection za form six selection 2026 Tamisemi
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la Form Six Selection 2026 hapa

Revoo

Member

Reputation: 22%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
194
Tunaenda kwa Al Hilal kupata alama tatu, hatuna presha na hata msimu uliopita wachezaji walikutana na hali kama hii, sisi tunajiamini na tumejiandaa kurudi na alama tatu.
FB_IMG_1736416455046.webp

Tumeshamaliza home work yetu, tumewaangalia na kuchambua makosa ya mechi yetu ya mwisho na wao wanajua wapi sisi ni hatari, tunaenda kucheza mechi ngumu wachezaji wetu wamejianda kwenda kucheza hii mechi ngumu na hesabu zetu ni kurudi na alama tatu.

Abdi Hamid Moalin Mkurugenzi wa Ufundi/Kocha Msaidizi Yanga.
 
Back
Top Bottom