New member
- Joined
- Mar 20, 2025
- Messages
- 2
Naomba kupata msaada wa kujua Kwa wale ambao tumeitwa kwenye usaili na hapo mwanzo tuliomba tukiwa maeneo tofaut, vip Kwa Sasa tunaweza fanyia usaili karibu na vituo vilivyotajwa katika mazingira ambayo tupo Sasa hivi au ni lazima tuwepo katika sehem ambazo tuliomba na kama ambavyo anuani inaonesha?