S songambele New member Joined Feb 11, 2025 Messages 1 Apr 24, 2025 #1 Account yangu ya ajira portal upande wa my application data zangu zmefutika E Ajira zitakwepo mwaka huu za ualimu G Tutor Mathematics veta
Account yangu ya ajira portal upande wa my application data zangu zmefutika E Ajira zitakwepo mwaka huu za ualimu G Tutor Mathematics veta
G Gift Administrator Staff member Reputation: 100% Joined Oct 19, 2024 Messages 1,576 Apr 24, 2025 #2 Tuma maelezo yako yote kwenda [email protected] ukiambatanisha na namba yako ya NIDA. Kumbuka kuandika maelezo yanayoendana na tatizo lako. 2. Kama upo karibu na ofisi za utumishi ni bora ukafika hapo ofisini ili usaidiwe kwa haraka zaidi. @songambele Upvote 0 Downvote
Tuma maelezo yako yote kwenda [email protected] ukiambatanisha na namba yako ya NIDA. Kumbuka kuandika maelezo yanayoendana na tatizo lako. 2. Kama upo karibu na ofisi za utumishi ni bora ukafika hapo ofisini ili usaidiwe kwa haraka zaidi. @songambele