F

Niliweka cheti kimakosà ajira portal nashindwa kukifuta na kufanya maombi ya kazi

franky

New member

Reputation: 1%
Joined
Oct 21, 2024
Messages
1
Nili upload kinakosa cheti cha chuo àmbapo kimoja niliweka chenye kuhuri wa mwanasheria na kingine ambacho nimekosea hakina muhuri wa mwanasheria,sasa nimejaribu kufutaa nimeshindwa kwà mda mrefu.
Làkiñi pia kwenye education background nilikosea kwa kuweka coz ambayo sio yangu,kwahiyo pale panaonyeshaa ninà shàhada mbili nà moja wapo sijasomea niliweka kinamkosa.
 
  • Like
Reactions: Sia

Huwezi kuedit au kufuta.
1. Nenda katika ofisi za utumishi (ajira portal) zilizopo Dar es Salaam - posta, Dodoma ziko Asha rose miguro na Zanzibar.
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom